ulevi mbaya jaman!!

mbatia mnzava

Member
Jul 1, 2011
27
3
jamaa mmoja alienda sehemu ya mbali.sikumoja jamaa alikuwa amelewa sana(chakari)akiwa anaelekea nyumbani akakutana na mama mmoja.yule mama akamuuliza hivi wew unamjua mungu?yule mlevi akamjibu hivi:mimi ni mgeni hapa huyo mungu mbona simfahamu!
 
mwingine bangi iko kichwani kaingia ndani akawakuta wazazi wako sebuleni akamcheki mama yake kwa muda mrefu mara akamwita faza fazaa aisee unajua kuchagua yaani hii kitu ni moto wa kuotea mbali huyu demu ni mzuri mno!
 
Ulevi sio nomaaaaaaa hata kidogo ni sehemu ya addiction kama wengine na addiction zao. Kila mtu anakilevi chake kuanzia sigara, pombe, ngono, music, movie n.k
 
Back
Top Bottom