Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,219
- 14,822
sijawahi kuelewa hili swala la ulevi hapa tanzagiza, ni kwa nini ni sifa? kwa nini mtu anajisifia kuwa mlevi wakati nchi na jamii nyingi duniani ulevi ni ugonjwa wa akili na watu wanatumia fedha na gharama kubwa kufanya therapy kuondokana nao?
uzoefu wangu karibia wanawake wote waliokuwa walevi niliokutana nao maishani walikuwa na psychological problems ni kama wanakimbia kivuli chao, yaani kuna kitu pombe ilikuwa inawasaidia kusahau kwa muda atleast mental illness zao, sasa huo ni uzoefu wangu na mademu walevi lkn kwa upande wa wanaume tena vijana wengi tanzagiza mpaka wanashindana kulewa na ni sifa, how sick is this society ? i mean, ni kizuri gani khs kuwa mlevi kwanza pombe inaharibu viungo vya mwili wako hasa ini, iweje watu waone ni jambo la kujisifia? how crazy is this society hapa tanzagiza ? …