Ulevi je ni Tabia ya kurithi

Ulevi je ni Tabia ya kurithi

Kiukweli mi sio shabiki wa pombe nikinywa nakuwa ovyo ila sipendi kuwa na mwanaume km wewe msiokunywa, wengi mnakuwaga wanafiki sana vijitabia vingi vya kike mnavyo, mmepoa sana hata kiutafutaji sio kiivyo km wanaokunywa,,

Matajiri wengi wanakunywa pombe fatilia
 
Na ambao hamnywii uwii ni walevi wa k kuzidi wanywaji wa pombe
Yani hua hawana starehe nyingine tofauti na kusikia hadi kwa mashemehi zao na kupiga puchu, na ukute wa namna hiyo mpira aangaliii 🙆🙆🙆 utajuta kumfaham
 
nadhani tatizo linalokusumbua ni huyo kigogo alokupigia manzi yako ila ulevi unataka kuutumia kujustify escape plan yako.
 
Ajabu umesema na kwenu kuna waraibu wa pombe..hao hujahisi watarithi wanao?
Anywys uraibu unarithi...tena unarithi vibaya mno
Kwetu Kwa familia yetu tuliozaliwa na mama yangu watoto wanne hakuna uraibu wa pombe ila Kwa mke mkubwa wa Baba yangu/ yaani mama mkubwa kwao huko watoto wawili aliozaa wana uraibu wa pombe na wale wamerithi kwa wajomba zao. I believe uraibu ni hereditary disorder
 
Mimi ni mtumishi wa umma kwa Miaka nane sasa ktk idara Fulani ya halmshauri. Nina 33 yrs old na elimu ya MSc. Kilichonileta hapa ni kwamba Nina mchumba wangu ambae ni Mwl na sasa hivi ni mwl mkuu wa gvt primary school na she is 28yrs. Kwangu ananiheshimu vizuri tuu ila problems ambayo inanifanya nimekuepo nasita kumuoa kwasababu mojawapo ni kwamba Kaka zake wawili ni walevi wa kupindukia. Kaka Mmoja ni mtumishi wa serikali Ila ni mlevi wa kupindukia mpaka anasahau majukumu ya familia yake na mwingine ni mlevi hivi sasa yupo sober house kupata matibabu . Ktk historia yake anasema Baba yake mzazi alikuepo ni mlevi Sana na ulevi huo ndio ulipelekea kifo cha Baba yake . Yeye mchumba japo aliniambia alikuepo anatumia wine mara chache Sana especially kwenye matukio tuu. Mama yake pia hanywi kabisa . Challenge . Nikikumbuka pombe , sigara etc jinsi zilivotekeza watoto wa Baba yangu Kwa mama mkubwa naogopa mno . Wajomba wa ukoo ule wa mama mkubwa walikuepo ni walevi wa kupindukia hivyo kaka na Dada yangu wa mama mkubwa pia warilithi hizo Tabia za ulevi Hadi kupelekea kifo cha kaka yangu mkubwa. Mimi ktk historia yangu sijawahi kinya pombe, kuvuta sigara au kutumia madawa yeyote ya kulevya. Mimi ni allergic hata harufu ya pombe Aina yoyote Ile nikiisikia Hilo eneo naondoka . Kifupi hata Malta sinywi huwa Ile harufu yake ni Kali . Nakunya soda za kawaida na juice za kawaida. Ktk uzao wa mama yangu wote hatutumii pombe . Nilivyoukuepo mdogo kule kwetu kikombe walichowekea ulanzi nilikikariri sikuweza kukutumia tena either kunywea chai au maji etc. Hivi sasa napata challenge kwa huyu mpenzi wangu ambae nilitarajia nimuoe kumuacha nashindwa cha kumwambia namuachaje hii Tabia ya ndg zake ya ulevi naogopa isije kurithiwa na wanangu.nikiangalia tumekaa kwa relationship about eight months. Yeye anahisi lengo langu ilikuepo kumchezea tuu ili nije nimkimbie . Other challenges nahisi aliwahi kutembea na mzee mmoja ambae ana kitengo nyeti serikalini. Sina Amani ya kumuoa sina Amani naomba ushauri kwa wazoefu nahisi Ile Tabia ya wajomba itaambukizwa Kwa watoto wangu hivyo itanipa challenge ya kuwalea watoto.
Achanane Kama ametembe na kigogo wa serekali mtafute ambaye hakafanya umalayaa

HV dunia hii utapata wapi mwanmke ambe ajaliwa popote

Acha hzo mzee wee oa Kama ataliwa na mwalimu mkuu bas fukuza
 
Back
Top Bottom