Ulevi je ni Tabia ya kurithi

Ulevi je ni Tabia ya kurithi

Ambao hamunywi pombe starehe yenu nini sasa. Watu ambao hawanywi wanaji9na hawana dhambi watakatifu
 
Yeah mkuu ulevi unarithiwa, zipo tabia nyingi zinazorithiwa ambazo huwezi kuzidhania mfano restlessness.

Kama baba yake ni mlevi nayeye anakunywa mteme.

Mi mwanamke anayenusa pombe hata salamu asinipe.
 
Kwaiyo kwenye mito ya pombe mbiguni nao ni wamerith kwa nan au......ostaz mudy embu elezea hili.....
 
Mbususu imechoka hiyo.

Nna Dem wa 33 mhaya mbususu imechakaa kinyama huyo wako itakuwa imelegea.

Mkague utaona Ina nyano Kwa pembeni kwenye mashavu..na ndio maana sipendi Yanga mie.. yaani papuchi ikichakaa imechgua rangi ya njano kwenye mashavu
Dah Mkuu utampa mtu pressure.
 
Ebu acha hizo mambo ulevi wa kaka zake ndio na ye umuone atakuwa mlevi

Mpaka kufikia umri huo kama sio mlevi hawezi kuwa mlevi usimuhukumu kupitia kaka zake mkuu kama unampenda endelea kumpenda na umuoe
Heineken bariiiiiiiiiiidi!
 
Uandishi wako unatia shaka kama kweli una Msc, jifunze kutenganisha paragraphs na pia kuzingatia alama za uakifishaji, sio unajaza kila kitu kwenye paragraph moja.

Pombe ni uraibu wa mtu, hamna cha kurithi hapo, endelea kusuasua utampoteza anyakuliwe.
Uandishi ni kweli Mimi sio mtuma post Sana wa jf Ila I'm MSc holder ikiepo BSc nimesomea Sua na MSc Asian countries.
 
Ebu acha hizo mambo ulevi wa kaka zake ndio na ye umuone atakuwa mlevi

Mpaka kufikia umri huo kama sio mlevi hawezi kuwa mlevi usimuhukumu kupitia kaka zake mkuu kama unampenda endelea kumpenda na umuoe
Bila shaka thread hujaielewa vizuri.
 
Mimi ni mtumishi wa umma kwa Miaka nane sasa ktk idara Fulani ya halmshauri. Nina 33 yrs old na elimu ya MSc. Kilichonileta hapa ni kwamba Nina mchumba wangu ambae ni Mwl na sasa hivi ni mwl mkuu wa gvt primary school na she is 28yrs. Kwangu ananiheshimu vizuri tuu ila problems ambayo inanifanya nimekuepo nasita kumuoa kwasababu mojawapo ni kwamba Kaka zake wawili ni walevi wa kupindukia. Kaka Mmoja ni mtumishi wa serikali Ila ni mlevi wa kupindukia mpaka anasahau majukumu ya familia yake na mwingine ni mlevi hivi sasa yupo sober house kupata matibabu . Ktk historia yake anasema Baba yake mzazi alikuepo ni mlevi Sana na ulevi huo ndio ulipelekea kifo cha Baba yake . Yeye mchumba japo aliniambia alikuepo anatumia wine mara chache Sana especially kwenye matukio tuu. Mama yake pia hanywi kabisa . Challenge . Nikikumbuka pombe , sigara etc jinsi zilivotekeza watoto wa Baba yangu Kwa mama mkubwa naogopa mno . Wajomba wa ukoo ule wa mama mkubwa walikuepo ni walevi wa kupindukia hivyo kaka na Dada yangu wa mama mkubwa pia warilithi hizo Tabia za ulevi Hadi kupelekea kifo cha kaka yangu mkubwa. Mimi ktk historia yangu sijawahi kinya pombe, kuvuta sigara au kutumia madawa yeyote ya kulevya. Mimi ni allergic hata harufu ya pombe Aina yoyote Ile nikiisikia Hilo eneo naondoka . Kifupi hata Malta sinywi huwa Ile harufu yake ni Kali . Nakunya soda za kawaida na juice za kawaida. Ktk uzao wa mama yangu wote hatutumii pombe . Nilivyoukuepo mdogo kule kwetu kikombe walichowekea ulanzi nilikikariri sikuweza kukutumia tena either kunywea chai au maji etc. Hivi sasa napata challenge kwa huyu mpenzi wangu ambae nilitarajia nimuoe kumuacha nashindwa cha kumwambia namuachaje hii Tabia ya ndg zake ya ulevi naogopa isije kurithiwa na wanangu.nikiangalia tumekaa kwa relationship about eight months. Yeye anahisi lengo langu ilikuepo kumchezea tuu ili nije nimkimbie . Other challenges nahisi aliwahi kutembea na mzee mmoja ambae ana kitengo nyeti serikalini. Sina Amani ya kumuoa sina Amani naomba ushauri kwa wazoefu nahisi Ile Tabia ya wajomba itaambukizwa Kwa watoto wangu hivyo itanipa challenge ya kuwalea watoto.
33 years una mchumba sio mke?
 
Wewe ni mtoto mwenye umri mkubwa, usioe bado hujafikia wkt wa kuoa. Umekutana naye ana miaka 28,umehusiana naye kwa miezi nane umechunguza umeona hafai unashindwa kumuacha kwa kuogopa lawama. Wanaume waliofikia wkt wa kuoa hawana akili za kijinga kama zako.
 
Mimi ni mtumishi wa umma kwa Miaka nane sasa ktk idara Fulani ya halmshauri. Nina 33 yrs old na elimu ya MSc. Kilichonileta hapa ni kwamba Nina mchumba wangu ambae ni Mwl na sasa hivi ni mwl mkuu wa gvt primary school na she is 28yrs. Kwangu ananiheshimu vizuri tuu ila problems ambayo inanifanya nimekuepo nasita kumuoa kwasababu mojawapo ni kwamba Kaka zake wawili ni walevi wa kupindukia. Kaka Mmoja ni mtumishi wa serikali Ila ni mlevi wa kupindukia mpaka anasahau majukumu ya familia yake na mwingine ni mlevi hivi sasa yupo sober house kupata matibabu . Ktk historia yake anasema Baba yake mzazi alikuepo ni mlevi Sana na ulevi huo ndio ulipelekea kifo cha Baba yake . Yeye mchumba japo aliniambia alikuepo anatumia wine mara chache Sana especially kwenye matukio tuu. Mama yake pia hanywi kabisa . Challenge . Nikikumbuka pombe , sigara etc jinsi zilivotekeza watoto wa Baba yangu Kwa mama mkubwa naogopa mno . Wajomba wa ukoo ule wa mama mkubwa walikuepo ni walevi wa kupindukia hivyo kaka na Dada yangu wa mama mkubwa pia warilithi hizo Tabia za ulevi Hadi kupelekea kifo cha kaka yangu mkubwa. Mimi ktk historia yangu sijawahi kinya pombe, kuvuta sigara au kutumia madawa yeyote ya kulevya. Mimi ni allergic hata harufu ya pombe Aina yoyote Ile nikiisikia Hilo eneo naondoka . Kifupi hata Malta sinywi huwa Ile harufu yake ni Kali . Nakunya soda za kawaida na juice za kawaida. Ktk uzao wa mama yangu wote hatutumii pombe . Nilivyoukuepo mdogo kule kwetu kikombe walichowekea ulanzi nilikikariri sikuweza kukutumia tena either kunywea chai au maji etc. Hivi sasa napata challenge kwa huyu mpenzi wangu ambae nilitarajia nimuoe kumuacha nashindwa cha kumwambia namuachaje hii Tabia ya ndg zake ya ulevi naogopa isije kurithiwa na wanangu.nikiangalia tumekaa kwa relationship about eight months. Yeye anahisi lengo langu ilikuepo kumchezea tuu ili nije nimkimbie . Other challenges nahisi aliwahi kutembea na mzee mmoja ambae ana kitengo nyeti serikalini. Sina Amani ya kumuoa sina Amani naomba ushauri kwa wazoefu nahisi Ile Tabia ya wajomba itaambukizwa Kwa watoto wangu hivyo itanipa challenge ya kuwalea watoto.
ulevi sio tabia ya kurithi ni tabia ya kuchagua , ulevi sio ugonjwa ni tabia ya kuchagua . Ulevi , uzinzi, ufiraji , ulafi ni tabia za kuchagua aziambukizwi wala kurithishwa . Ulevi sio kifafa, IQ, albinism etc . Kiufupi OA usijidanganye kuna anasubiri unavyositasita apite na huyo mwanamke kama ni wife material.
 
Kinachorithishwa mzee sio ulevi, bali ni roho ya ulevi ndio inayohama kutoka kizazi kimoja kwenda kingine,sasa ukisimama vizuri katika kumjua Mungu hiyo roho haitakuathiri wewe wala watoto wako...
Kwahiyo roho hiyo alikuwa nayo daudi .noah wa mrikebu.yesu alogeuza maji kuwa divai ilosifiwa ???
 
Dah Mkuu utampa mtu pressure.
Mkuu nishawahi kutendwa na Dem, aliachana na Mimi baada ya kumpata mchiz mmoja hiv .

Wakanyendiana Mkuu huwez Amin yule Dem alikuwa giff Wang miaka kadhaa cha ajabu baada ya kunisaliti, au tuite kinikimbia. Nikatulia...

Baadae akarudi....nikawa naandaa mazingira ya kumgegeda tena baada ya kurejea kwangu kutoka kuwa mkimbizi....

Uchi niliukagua nikagundua umepigika..umegongwa kama shamba la katani au mkonge papuchi imebadilika rangi, kutoka kuwa dack green hadi kuwa yellow.

Ni true story
 
ulevi sio tabia ya kurithi ni tabia ya kuchagua , ulevi sio ugonjwa ni tabia ya kuchagua . Ulevi , uzinzi, ufiraji , ulafi ni tabia za kuchagua aziambukizwi wala kurithishwa . Ulevi sio kifafa, IQ, albinism etc . Kiufupi OA usijidanganye kuna anasubiri unavyositasita apite na huyo mwanamke kama ni wife material.
Jamaa una kitu kikubwa kichwani.

Hekma busara.. nakukubalia..

Japo kama kama ni ishu ya vinasaba it take seventh generation to show behavior ya kifamilia..

Genes zinatokea hata baadae Sana....

Na ulevi ,uhuni vinarithishwa lkn huonekana after several years.

Iam biology expertise
 
Mkuu nishawahi kutendwa na Dem, aliachana na Mimi baada ya kumpata mchiz mmoja hiv .

Wakanyendiana Mkuu huwez Amin yule Dem alikuwa giff Wang miaka kadhaa cha ajabu baada ya kunisaliti, au tuite kinikimbia. Nikatulia...

Baadae akarudi....nikawa naandaa mazingira ya kumgegeda tena baada ya kurejea kwangu kutoka kuwa mkimbizi....

Uchi niliukagua nikagundua umepigika..umegongwa kama shamba la katani au mkonge papuchi imebadilika rangi, kutoka kuwa dack green hadi kuwa yellow.

Ni true story
Nawe ukaendelea kuila tena au
 
Back
Top Bottom