Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
Hapo ataanza fatikia hadi wajombaAngekuwa mnywaji angeshavuta mama ndani, ila kwa kuwa hanywi ameamua kujipa kazi ya kufuatilia maisha ya mashemeji zake kitu ambacho hakifai.
Hapo ataanza fatikia hadi wajombaAngekuwa mnywaji angeshavuta mama ndani, ila kwa kuwa hanywi ameamua kujipa kazi ya kufuatilia maisha ya mashemeji zake kitu ambacho hakifai.
Na unokoNa kufuatilia mambo yasiyowahusu..
Kwahiyo miaka 28 ni mzee!!! Kachelewa kuolewa!?!? Hivi nyie wenzetu wa humu mnaishi jamii hizi hizi tunazo ishi sisi!!!?Miaka 28 hajaolewa? Labda alikuwa na huyo mtu unayedhani. Kwa hiyo, tafuta watu (hata kwa kuwalipa pesa kidogo), wafuatilie historia yake.
Roho za kurithi haziwezi kwenda kwake mwanamke - labda kama bibi yake alikuwa nazo.
Yani amejipa ubora ambao sidhani kama anao...kujiona msafi kisa tu hanywi pombe na kuofia wengine kisa baba na kaka wanakunywa!!!? Eti ataaribiwa watoto wake!!Mkuu hiyo Msc uliyosema unayo ni Masters in Social Complications?
Yaani unahofia kitu hakipo? Kwani Ulevi ni ugonjwa wa kurithi?
Maana sijaelewa uhusiano wa Ndugu zake kunywa na watoto wenu kuwa Walevi.. Halafu unahofia matokeo upande wa Ndugu zake ilhali upande wako pia kuna wanaokunywa Pombe.
Hizi elimu siku hizi zimekuwaje? Mbona Watu hawaishiwi na Ujinga vichwani mwao?!
We umemrithi nani? Kaka au dada?Mimi ni mtumishi wa umma kwa Miaka nane sasa ktk idara Fulani ya halmshauri. Nina 33 yrs old na elimu ya MSc. Kilichonileta hapa ni kwamba Nina mchumba wangu ambae ni Mwl na sasa hivi ni mwl mkuu wa gvt primary school na she is 28yrs. Kwangu ananiheshimu vizuri tuu ila problems ambayo inanifanya nimekuepo nasita kumuoa kwasababu mojawapo ni kwamba Kaka zake wawili ni walevi wa kupindukia. Kaka Mmoja ni mtumishi wa serikali Ila ni mlevi wa kupindukia mpaka anasahau majukumu ya familia yake na mwingine ni mlevi hivi sasa yupo sober house kupata matibabu . Ktk historia yake anasema Baba yake mzazi alikuepo ni mlevi Sana na ulevi huo ndio ulipelekea kifo cha Baba yake . Yeye mchumba japo aliniambia alikuepo anatumia wine mara chache Sana especially kwenye matukio tuu. Mama yake pia hanywi kabisa . Challenge . Nikikumbuka pombe , sigara etc jinsi zilivotekeza watoto wa Baba yangu Kwa mama mkubwa naogopa mno . Wajomba wa ukoo ule wa mama mkubwa walikuepo ni walevi wa kupindukia hivyo kaka na Dada yangu wa mama mkubwa pia warilithi hizo Tabia za ulevi Hadi kupelekea kifo cha kaka yangu mkubwa. Mimi ktk historia yangu sijawahi kinya pombe, kuvuta sigara au kutumia madawa yeyote ya kulevya. Mimi ni allergic hata harufu ya pombe Aina yoyote Ile nikiisikia Hilo eneo naondoka . Kifupi hata Malta sinywi huwa Ile harufu yake ni Kali . Nakunya soda za kawaida na juice za kawaida. Ktk uzao wa mama yangu wote hatutumii pombe . Nilivyoukuepo mdogo kule kwetu kikombe walichowekea ulanzi nilikikariri sikuweza kukutumia tena either kunywea chai au maji etc. Hivi sasa napata challenge kwa huyu mpenzi wangu ambae nilitarajia nimuoe kumuacha nashindwa cha kumwambia namuachaje hii Tabia ya ndg zake ya ulevi naogopa isije kurithiwa na wanangu.nikiangalia tumekaa kwa relationship about eight months. Yeye anahisi lengo langu ilikuepo kumchezea tuu ili nije nimkimbie . Other challenges nahisi aliwahi kutembea na mzee mmoja ambae ana kitengo nyeti serikalini. Sina Amani ya kumuoa sina Amani naomba ushauri kwa wazoefu nahisi Ile Tabia ya wajomba itaambukizwa Kwa watoto wangu hivyo itanipa challenge ya kuwalea watoto.
Angetoa na historia ya ukoo wake tulinganishe. Hawa ndo wale uibukia vimeo.Hapo ataanza fatikia hadi wajomba
Tena wanafiki balaa...Na ambao hamnywii uwii ni walevi wa k kuzidi wanywaji wa pombe
Wewe 40+ huko utagida pombe mbwa ananafu.Mimi ni mtumishi wa umma kwa Miaka nane sasa ktk idara Fulani ya halmshauri. Nina 33 yrs old na elimu ya MSc. Kilichonileta hapa ni kwamba Nina mchumba wangu ambae ni Mwl na sasa hivi ni mwl mkuu wa gvt primary school na she is 28yrs. Kwangu ananiheshimu vizuri tuu ila problems ambayo inanifanya nimekuepo nasita kumuoa kwasababu mojawapo ni kwamba Kaka zake wawili ni walevi wa kupindukia. Kaka Mmoja ni mtumishi wa serikali Ila ni mlevi wa kupindukia mpaka anasahau majukumu ya familia yake na mwingine ni mlevi hivi sasa yupo sober house kupata matibabu . Ktk historia yake anasema Baba yake mzazi alikuepo ni mlevi Sana na ulevi huo ndio ulipelekea kifo cha Baba yake . Yeye mchumba japo aliniambia alikuepo anatumia wine mara chache Sana especially kwenye matukio tuu. Mama yake pia hanywi kabisa . Challenge . Nikikumbuka pombe , sigara etc jinsi zilivotekeza watoto wa Baba yangu Kwa mama mkubwa naogopa mno . Wajomba wa ukoo ule wa mama mkubwa walikuepo ni walevi wa kupindukia hivyo kaka na Dada yangu wa mama mkubwa pia warilithi hizo Tabia za ulevi Hadi kupelekea kifo cha kaka yangu mkubwa. Mimi ktk historia yangu sijawahi kinya pombe, kuvuta sigara au kutumia madawa yeyote ya kulevya. Mimi ni allergic hata harufu ya pombe Aina yoyote Ile nikiisikia Hilo eneo naondoka . Kifupi hata Malta sinywi huwa Ile harufu yake ni Kali . Nakunya soda za kawaida na juice za kawaida. Ktk uzao wa mama yangu wote hatutumii pombe . Nilivyoukuepo mdogo kule kwetu kikombe walichowekea ulanzi nilikikariri sikuweza kukutumia tena either kunywea chai au maji etc. Hivi sasa napata challenge kwa huyu mpenzi wangu ambae nilitarajia nimuoe kumuacha nashindwa cha kumwambia namuachaje hii Tabia ya ndg zake ya ulevi naogopa isije kurithiwa na wanangu.nikiangalia tumekaa kwa relationship about eight months. Yeye anahisi lengo langu ilikuepo kumchezea tuu ili nije nimkimbie . Other challenges nahisi aliwahi kutembea na mzee mmoja ambae ana kitengo nyeti serikalini. Sina Amani ya kumuoa sina Amani naomba ushauri kwa wazoefu nahisi Ile Tabia ya wajomba itaambukizwa Kwa watoto wangu hivyo itanipa challenge ya kuwalea watoto.
Mbususu imechoka hiyo.Miaka 28 hajaolewa? Labda alikuwa na huyo mtu unayedhani. Kwa hiyo, tafuta watu (hata kwa kuwalipa pesa kidogo), wafuatilie historia yake.
Roho za kurithi haziwezi kwenda kwake mwanamke - labda kama bibi yake alikuwa nazo.
Kuna Anko wangu mmoja yeye kutwa alikuwa anawasema kaka zake hawajui kulea watoto, mi nikawa namuangalia tu sasa hivi mitoto yake imekuwa mikubwa ndio misumbufu balaa mmoja mdokozi mwingine bange zimemuaribuYani amejipa ubora ambao sidhani kama anao...kujiona msafi kisa tu hanywi pombe na kuofia wengine kisa baba na kaka wanakunywa!!!? Eti ataaribiwa watoto wake!!
Huyu ni wivu unamsumbuaUna visababu vyako wewe huna lolote.
Kuna Mzee mmoja pale ofisini ni Mzee wa totoz na Yupo kitengo nyeti. Yule Mzee nahisi alitembea nae baada ya kufanya karesarch. Baada ya kuona Ile namba kwenye simu yake niliiangalia mara mbili nikaona ni yenyewe.Hamna connection yeyote Ile Kati ya kitengo cha yule Mzee na mwl.. mara kama Tatu alimzungimzia Yule Mzee kwenye story kwa Jina halisi. Yule Mzee mimi namfahamu Kwa cheo chake but yeye alimzungumzia Kwa kutaja jinaHaya yooote tumeskia, lakini mimi naomba uongezee nyama kidogo sehem moja,
Eti blaza unasema aliwahi kutembea na mzee nyeti wa kitengo au sijakuskia vizuri??
😂😂😂😂😂Waalim wakat wanakufundisha kuandika kwenye daftari la mistari mikubwa na midogo ulikua unawaona wanapoteza muda madhara yake ndo haya unakuja kutuumiza macho
Ni unywaji uliopindukia . Kuna unywaji wa kawaida na ule uliozidi kiwango . mwingine kapelekwa sober house . Kapelekwa Nyumba za maombi imeshindikanaYani amejipa ubora ambao sidhani kama anao...kujiona msafi kisa tu hanywi pombe na kuofia wengine kisa baba na kaka wanakunywa!!!? Eti ataaribiwa watoto wake!!
Mpuuze tuKwahiyo miaka 28 ni mzee!!! Kachelewa kuolewa!?!? Hivi nyie wenzetu wa humu mnaishi jamii hizi hizi tunazo ishi sisi!!!
Ebu acha hizo mambo ulevi wa kaka zake ndio na ye umuone atakuwa mlevi
Mpaka kufikia umri huo kama sio mlevi hawezi kuwa mlevi usimuhukumu kupitia kaka zake mkuu kama unampenda endelea kumpenda na umuoe