Ulemavu wa akili katika siasa

Ulemavu wa akili katika siasa

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
590
Reaction score
706
"Ulemavu wa akili katika siasa hujidhihirisha pale ambapo kikundi cha matusi (wanaharakati uchwara) wenye kujifanya werevu kwa kuchonganisha wananchi na mamlaka, wakivuruga mshikamano kwa maslahi binafsi. Hawa si wanaharakati wa mabadiliko, bali ni mawakala wa mgawanyiko na machafuko wanaoishi kwa kuvuna migogoro na kukwamisha maendeleo."-Alloyce, P.R.
 
"Katika siasa, ulemavu wa akili si tu kasoro ya fikra, bali ni hatari kwa ustawi wa taifa. Maana, akili pofu huzua migongano badala ya maelewano, huona mamlaka kama adui wa wananchi, na huwachochea wananchi waione serikali kama mnyang’anyi wa matumaini yao. Lakini akili timamu hufanya siasa kuwa daraja kati ya nguvu za utawala na sauti za watu, si uwanja wa vita bali meza ya maridhiano."Alloyce, P.R.
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
"Ulemavu wa akili katika siasa hujidhihirisha pale ambapo kikundi cha matusi (wanaharakati uchwara) wenye kujifanya werevu kwa kuchonganisha wananchi na mamlaka, wakivuruga mshikamano kwa maslahi binafsi. Hawa si wanaharakati wa mabadiliko, bali ni mawakala wa mgawanyiko na machafuko wanaoishi kwa kuvuna migogoro na kukwamisha maendeleo."-Alloyce, P.R.
No Reform No Election
 
Acha upumbavu wewe,, naona umepata like moja ya Lucas Mwashambwa
 
Maendeleo bila kufanya checks and balance,

Ni kupoteza muda.

Wizi wa kura huleta viongozi waovu na wabinafsi, maendeleo yatoke wapi?

NRNE💪🔥
 
Kwamba kuna jimama linaloua watu kisha likiambiwa lisiue watu linawaita watu wema hao kuwa ni wachungaji washetani badala ya lenyewe linaloua raia wake. Hilo limama lenu ni likilema la akili na ubinadamu. Life haraka hatulitaki na tutalifunga jela siku moja
 
Back
Top Bottom