Ule utapeli wa kijuha umeanza tena...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na Mimi wlinfanyia km hivo..... Ila hapo kwenye KATAVI wakaweka SERENGETI..... Nikawauliza mnachimba VISIMA mbugani.... Nyie SIMBA na CHUI wajomba zenu? Walitaka laki 5! Nilikuwa mitaa karibu na BUGURUNI POLICE, kuna pot mwanafunzi wng nikampa simu aongee nao! Yule anaejifanyaga mzungu hajui kiswahili aliongea Kiswahili kushinda Manara!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna baba mmoja na mama mmoja walitudanyanga kuwa wamehamia Dodoma na wakajitangaza sana kuwa sasa wako Dodoma wanamsubiri boss wao lakini kila siku wako Dar. Je huo sio utapeli?
 
Kuna baba mmoja na mama mmoja walitudanyanga kuwa wamehamia Dodoma na wakajitangaza sana kuwa sasa wako Dodoma wanamsubiri boss wao lakini kila siku wako Dar. Je huo sio utapeli?
Acha tu ndugu yangu Kuna mengine acha tu yapite kimya kimya
 
Wajinga sana hao mataper mimi kwa ujinga huo hawanipati nakumbuka walitaka kumuinguza king mke wangu badi kidogo tu kama sio kuniambia angepigwa
 
Ndio maana kwenye cm hutakiwi kusave majina kama mama yangu, sjui baba yangu au mke wangu, mume wangu au kaka angu yaaani mtu akiiba cm yako wa kwanza kuwa taperi hera ni hao uliowasave kama ndugu zako wa karibu na lazima watume
 
Pole mkuu
 
Ukapone mkuu vp hujachinja kuku au mbuzi
 
Hichi kitu kimenitokea Leo. Kuna brother nilikua nataka mtumia pesa akaniambia nitumie pesa. Baada ya dakika tano SMS ikaingia hiyo Pesa itume kwa Namba hii nilishindwa kijua natuma kwa Namba ipi ikabidi ni hakiki[emoji16][emoji16]kuhakiki nikajua nataka lupigwa. Hii issue watu wa mitandao wanajua
 
Lakini pia ukipata matatizo hao watu ndio rahisi kupewa taarifa. Kila jambo lina baya na zuri lake.
Ndio maana kwenye cm hutakiwi kusave majina kama mama yangu, sjui baba yangu au mke wangu, mume wangu au kaka angu yaaani mtu akiiba cm yako wa kwanza kuwa taperi hera ni hao uliowasave kama ndugu zako wa karibu na lazima watume
 
Mimi mwenyewe leo walinikosakosa nimetumiwa meseji na namba ya Bosi wangu wa zamani akisema anataka kuniunganisha na mjomba wake Kuna biashara ya haraka haraka tuipige,kwa hiyo namba yangu anampatia huyo mjomba wake anipe maelekezo.
Baada ya dakika 3 akanipigia huyo mjomba yake akajitambulisha kwa jina la Frank na akasema yupo kwenye miradi ya serikali ya fummigation,kwa hiyo anasema Kuna wageni wamekuja dar na wanahitaji madawa/kemikali za fummigation kwa hiyo anataka Mimi niisimamie hiyo biashara ili tupate faida ya juu.
Baada ya hapo akasema ananiunganisha na Sales manager wa kiwanda Cha Shelys pharmaceuticals Mwenge anaitwa Odeso yeye ndio atahusika na kutoa hizo bidhaa.
Basi akanipa namba za huyo meneja nikampigia na kuongea naye Kisha nikaulizia Bei za hizo dawa nikaambiwa zinauzwa laki mbili kwa box moja.
Baada ya hapo nikamrudia yule aliyenipa maelekezo(frank) nikampa feedback ya Bei ambayo ni laki 2 Kisha akaniambia sisi itabidi tuuze laki 3 kila box moja.
Akasema hatua inayofuata anipe namba za wateja ambao alidai wako kwenye hotel maeneo ya Sinza ili niwape Bei halaf wakiafiki nikaonane nao tumalize biashara na kupata mahela na alidai hao wateja Wana uwezo wa kuchukua hata box 50.
Jamaa akanitumia namba zao hao wateja,lakini kwa bahati nzuri machale yakanicheza nikasema ngoja kabla sijaongea na hao wateja ili nianze kutoka home na kusogea maeneo ya mwenge ngoja kwanza nijiridhishe na kuconfirm Kama Kuna ukweli.
Nilichofanya nikampigia mtu wa Mwanzo kabisa ambaye namba yake naifaham Kama ya Bosi wangu isije ikawa amepoteza simu halaf imeokotwa na wahuni.
Nilivyompigia akapokea lakini akawa hataki kuongea sana na akawa ananong'ona kwa sauti ya chini na kuongea maneno machache yafuatayo,"nipo kwenye kikao nitakupigia baadae" kwa sauti ya kunong'ona.
Hapo ndipo nikapata mashaka na kwa kujiridhisha zaidi nikachukua namba zao na kusearch majina yao kwa kutumia mpesa yule mmoja ambaye alijiita Frank namba yake ilisoma kwa jina la Hamis,na yule aliyejiita Odeso namba yake ikatokea kwa jina la Tatu Suleiman.
Nikagundua kwamba ni matapeli nikaishia kucheka peke yangu,na hadi Sasa hivi hawajanitafuta tena.
 
Hapo ndipo nikapata mashaka na kwa kujiridhisha zaidi nikachukua namba zao na kusearch majina yao kwa kutumia mpesa yule mmoja ambaye alijiita Frank namba yake ilisoma kwa jina la Hamis,na yule aliyejiita Odeso namba yake ikatokea kwa jina la Tatu Suleiman.
Nikagundua kwamba ni matapeli nikaishia kucheka peke yangu,na hadi Sasa hivi hawajanitafuta tena. [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…