mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,474
- 14,521
Ni kweli aisee,mara nyingi wanacheza na akili za watu wenye tamaa ya kupiga pesa kwa haraka.Nafikiri ukishatapeliwa ndio unakuwa umekabidhiwa rasmi advance diploma ya ujinga.
Na ukienda polisi kushtaki automatically unakuwa umepata degree ya ujinga. ....maana kule unakuwa kituko zaidi cha karne, ... hasa wanapoanza kuuliza km huwa unasoma meseji za polisi? .....in case umepigwa kwa style ya (TUMA HELA KWA NAMBA HII.)
Huu utapeli wa meseji km aliyoletewa Mshana, ni random search ya watu wenye tamaa za kijinga (a deal is always too good to be true.)
Huwezi kutapeliwa km wewe si mjinga , na huna tamaa.
Wanatuma kwa ule mtindo wa batch send... Anayeuvaa mkenge wanadili naye perpendicularly
Huu Utapeli hauwezi kuisha..... Juzi limenipigia lijitu likajitambulisha lipo Morocco makao makuu ya Airtel, nikauliza unasemaje, likaanza kuniuliza "unaitwa nani na upo wapi"nilimuuliza kama wewe ambae upo ofisini na makompyuta yako hunijui mimi hapo unafanya nini? Akakata simu
Kwa hiyo ndugu haukumnyima haki yake ya kuongea ulimwacha aongee mpaka mwisho kisha ndo ukamjibu.Lazima uwaoneshe kwamba nawe unajua.... Mini mmoja alinipigia akaongea pumba zake alipomaliza nikamuuliza unajua unaongea na nani? Akakaa kimya... Nikamwambia hapa ni mochwari.... Nadhani alikata simu kabla sijamalizia neno chwari.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu wa subiri sasa tukufungie line yako keshanipigiaga, nikamwambia kwanza vifurushi vyenu ghali funga tuMimi aliniambia anatoka kampuni ya voda! Kuna pesa imetumwa kimakosa hivyo niirudishe. Halafu walivyokuwa hawatumii akili, code namba zao si za huduma za wateja bali ni za wateja. Alivyoona nimemshutukia ananiambia subiri sasa tukufungie line yako halafu akakata simu.
[emoji23][emoji23][emoji23]ile itume kwenye namba hii angekula hela yangu sema kuweka neno 'itume haraka' alikosea
kuna bwana mdg nilitakiwa mtumia hela na nilimwahidi siku iyo mara msg ya itume kwa namba hii iyo hapo ila nikashangaa bwana mdg anasema itume haraka nikakausha kumbe ni bwana tapeli.
Ok asante kwa taarifa tutarekebisha [emoji23][emoji23][emoji23]ile itume kwenye namba hii angekula hela yangu sema kuweka neno 'itume haraka' alikosea
kuna bwana mdg nilitakiwa mtumia hela na nilimwahidi siku iyo mara msg ya itume kwa namba hii iyo hapo ila nikashangaa bwana mdg anasema itume haraka nikakausha kumbe ni bwana tapeli.
Tulitapeliana na huyu binti km binti mpk tkt katuma nikaenda Moscow kula bata,nikajirudia zangu kimyaa mtaani nikakata line,mirska mtoto alikua mtamu balaa Skype kwa kwenda mbele.
Mi nikajua tu katumwa huyu,nikamlamba tkt piga fix kuna project ya pesa mingi nikifika Ferrari nini nafix.
Aah nikapata free safari.
Matusi badae nikayakoga potelea karibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulitapeliana na huyu binti km binti mpk tkt katuma nikaenda Moscow kula bata,nikajirudia zangu kimyaa mtaani nikakata line,mirska mtoto alikua mtamu balaa Skype kwa kwenda mbele.
Mi nikajua tu katumwa huyu,nikamlamba tkt piga fix kuna project ya pesa mingi nikifika Ferrari nini nafix.
Aah nikapata free safari.
Matusi badae nikayakoga potelea karibu.
Umetumia translator gani kama umekoroga koroga maneno mbele nyuma kushoto kulia juu chini nyembamba fupi nyeupe ndogo.Tulitapeliana na huyu binti km binti mpk tkt katuma nikaenda Moscow kula bata,nikajirudia zangu kimyaa mtaani nikakata line,mirska mtoto alikua mtamu balaa Skype kwa kwenda mbele.
Mi nikajua tu katumwa huyu,nikamlamba tkt piga fix kuna project ya pesa mingi nikifika Ferrari nini nafix.
Aah nikapata free safari.
Matusi badae nikayakoga potelea karibu.
Wajuvi utawatambua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio safi sana mzee fanya kama unamsokota sokota wkt huo lamborghini inaunguruma unguruma na udwanzi kwa sana bila papara huku na kule tindika linakwangaruka na unaithibitisha kwa M-pesa ili wazee waki approach madesa yanakua kwa Lumbert au popote kambi.
Code za huduma kwa wateja zipojeMimi aliniambia anatoka kampuni ya voda! Kuna pesa imetumwa kimakosa hivyo niirudishe. Halafu walivyokuwa hawatumii akili, code namba zao si za huduma za wateja bali ni za wateja. Alivyoona nimemshutukia ananiambia subiri sasa tukufungie line yako halafu akakata simu.
Halafu hawatumii akili. Hili zoezi la kusajili line kwa kitambulisho cha Taifa litawakamatisha vibaya sana. Picha na taarifa zote zipo.Huyu wa subiri sasa tukufungie line yako keshanipigiaga, nikamwambia kwanza vifurushi vyenu ghali funga tu
Huwa zinaanza na country code +255 lakini namba zinazofuata si kama namba za wateja wa mtandao husika. Huwa zinakuwa ni tofauti. Mfano ya Vodacom inaanza na +255(country code) halafu zinakuja namba zao ambayo inakuwa +255 901 767 676.Code za huduma kwa wateja zipoje