Ule upendo wa kweli bado upo?

Kuna mmoja jana anauliza huko FB, je inawezekana kwamba watu wameoana kwa ndoa lakini hawaishi pamoja? Ndio tumefika huko. Ndoa ni title tu, isemekane na yeye aliolewa lakini hawaishi pamoja.
😊😊😊
So watu wanafungia ndoa kutimiza ndoto zao na kuionyesha jaamii basi..hakuna la ziada?
 
Huamini kwamba mtu anaweza kupa kama huo?
Na huwa najiuliza kumpa mtu upendo kama huo nae mwisho wa siku anakupa maumivu kwakweli ni hasara.
Kabisa mkuu. Binadamu ambaye sio mzazi wako hawezi kukupenda kwa kila hali hadi mwisho wa dahari. Never!

Kila mwanadamu ana turning point yake (hata mwanao), tunatofautiana tu. Yupo atakayekuwa bega kwa bega na wewe katika nyakati fulani ngumu ila ikifikia ukomo wake (Turning point) atakuacha solemba tu. Ni mzazi wako tu (Hasa mama na Baba kwa asilimia kubwa) anaweza kuwa pamoja na wewe kwenye changamoto zako zote mpaka kifo. Wengine wote wana Breaking/Turning point.
 
Huo ndio upendo sasa
 
Reactions: ---
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…