Ule upendo wa kweli bado upo?

Kutumia upendo kama huu kwa mjinga, ni janga zaidi ya corona.! šŸ˜Ž

Vile unajitoa kwa mwengine vile yeye anaona ni wajibu wako.! 🤭

Note: Kuna ujinga unaangamiza duniani bila wenyewe kujua nini unafanya.! Hii ni mbaya zaidi ya sana!
 
Upo shida mme leta illusion, za ujinga unaitwa Feminism na nyie hamjawahi jua amani, saa zote mmna taka vurugu ah hembu mtupumzishe na ujinga wenu!!!
Bro yu krek da bottom 🄹

Feminism imeharabu wakina mwajuma

Ila sema kila wakijaribu wanakula Tatu Kavu.! 🤭 Ile kavu kavu kibishi hatupendi ujinga wana
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ndipo kupishana na upendo wa ukweli kunapotokea
Unaacha upendo unakimbilia taco
Unaacha upendo unakimbilia mwenye gari
Basi
It's complicated . Ila mimi, mtu tofauti na wazazi au ndugu zangu akiniambia amenipenda tu huwa nastuka kwanza, huwa siamini, namuuliza tena nihakikishe kama nilichokiskia ndicho au vipi. Yaani eti unanipenda tu sijakupa chochote na unanipenda tuuuuu!!, hii aina ya upendo siitaki kwakweli, sitaki kupendwa kimasihara
 
Upo lakini it so real , and dunia ya sasa inayojaribu kuhalalisha mambo yasiyo ya upendo ndio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…