Ule uongo wa miaka nenda ndio umefika tamati

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,681
8,241
From Heathrow to the snows of Kilimanjaro:
Airport pledges far-flung flights in third runway bid

Kilimanjaro: Airport pledges far-flung flights in third runway bid

heathrow-1.jpg

Heathrow is planning to add new destinations in bid to secure another runway
Heathrow today promised direct links to more exotic and far-flung destinations as it entered a New Year battle to win backing for a third runway.

Its campaign has been largely business-focused as it seeks to beat Gatwick for government consent to expand.

But many of the routes, planned if another runway is built in west London, would also make it easier for Britons to visit more capitals, heritage sites and other tourist attractions.

By 2030, a direct flight would be put on at least once a week to Kilimanjaro International Airport in Tanzania.

Trekkers would then have to travel only a short distance to climb Mount Kilimanjaro, Africa’s highest mountain at 5,896 metres, or set off on safaris in several national parks.

Over in South America, at about half the height of Kilimanjaro, stands the Ecuadorian capital of Quito, which would also be served by a flight.

Its old town, with its architectural treasures, has been designated as a Unesco World Heritage site, while tower blocks rise up in the new parts of the sprawling city.

Elvis fans would be able to jump on a plane from west London to Memphis, Tennessee, where the singer’s former home, Graceland, is located.

More than 600,000 people a year visit the mansion, making it the second most-visited house in America after the White House.

Tennessee-bound travellers could also fly direct to its capital, Nashville, to experience its country music venues, visit Civil War battle sites and try its famous hot chicken dishes.

Another direct route would be to Salt Lake City, the gateway to the powder-snow ski fields of Utah, where the Winter Olympics took place in 2002. Heathrow spokesman Nathan Fletcher said: “Expansion will mean connecting to the world’s fastest growing cities, which is pivotal to Britain’s economic plan.

“And with direct flights it will open the world up for holidaymakers as well as businesspeople to experience the culture of these flourishing destinations.”

A flight to Thiruvananthapuram in Kerala — hailed by Mahatma Gandhi as India’s “evergreen city” — would cut the travel time to its idyllic Kovalam beach and wildlife sanctuaries. Further east, travellers looking to follow in the footsteps of Rudyard Kipling and Somerset Maugham would be able to travel to Penang on the north-west coast of peninsular Malaysia, by the Strait of Malacca.

While the city is thriving economically, with major industrial developments, it is also popular among tourists who flock to taste the cuisine of Malaysia’s food capital — a fusion of many nations — and visit its beaches, hills and culture.

Londoners would also be able to fly direct to the old port city of Fuzhou, the fast-growing capital of China’s Fujian province, which offers a range of tourist attractions including hot springs.

Flights to Central America will boost links with the bustling metropolis of Panama City, at the Pacific entrance of the Panama Canal, with nearby sandy beaches and rainforests, as well as to Guatemala City.

Wataisoma number.
 
Masikini Tanzania!, tunashindwa kuchangamkia hizi fursa, kwa sababu kwa mujibu wa kanuni za kimataifa za usafiiri wa anga, ni nchi husika tuu ndio yenye uhusa kurusha direct flight kutoka nchi moja hadi nchi nyingine!.

Right yetu ya kutua UK ilichukuliwa na Alliance Air, kampuni hii ilikuwa ni ubia kati ya serikali ya Tanzania na shirika la ndege la Afrika Kusini SAA, ushirikiano ulipovunjwa, route yetu ikamilikiwa na SAA kwa vile hatukuwa na ndege wala uwezo wa kurusha ndege kwenda UK!. Ila sasa hata Tanzania ikipata uwezo wa kurusha ndege yetu kupeleka UK, bado tutakumbwa na tatizo la ng'ombe wa masikini hazai!, maana ndege hiyo itakamatwa mara tuu itakapotua London as an attachment ya kufidia kuikamata ile meli meli ya samaki wa Magufuli, na kushikiliwa hadi tulipe fidia ya meli ile iliyoozea Bandai ya Dar!.

Wakati haya yakiendelea, wenzetu Kenya, wanajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kingo za Mlima Kilimanjao upande wa Kenya pale Holili!, kutoka hapo ni 30 minutes drive mpaka sehemu ya kupandia mlima Kilimanjaro pale Marangu, ambao unapandwa kwa upande wa Tanzania tuu!. Kutoka KIA hadi Marangu pale pa kupandia mlima Kilimanjaro ni 1 hr drive, hivyo uwanja wa Kenya ukikamilika, watalii wanaopitia Kenya, watapanda kwa haraka zaidi mlima Kilimanjaro kuliko wanaopitia Tanzania!, by then Nchi za Afrika Mashariki tutakuwa nchi moja!, hivyo visa ni moja tuu!, what chances do we stand?!

Hapa tulipo tuu, Tanzania ndio ina vivutio vingi vya utalii kuliko Kenya, lakini Kenya ndio inayoongoza kwa pato la utalii!, wengi wa watalii wanaokuja Tanzania, wanakuja kwa kupitia Kenya, na wanawajibika kulipia double visa kuingia Tanzania!, sasa just imagine kwa sasa kuingia Tanzania ni kwa visa lakini watalii wengi wanapitia Kenya, jee visa zikiondolewa hali itakuwaje?!.

Usafiri wa anga na uhamasishaji utalii ni changamoto kwa serikali ya JPM!.

Pasco
 
Pasco acheni kutuzingua bana watu tupo busy kumshangilia Magufuli na wengine tayari tuna hangover za Magufuli. Hayo mambo hayatutishi bana, sisi tuna Magufuli na serikaki ya 'kustukiza'.
 
Masikini Tanzania!, tunashindwa kuchangamkia hizi fursa, kwa sababu kwa mujibu wa kanuni za kimataifa za usafiiri wa anga, ni nchi husika tuu ndio yenye uhusa kurusha direct flight kutoka nchi moja hadi nchi nyingine!. Right yetu ya kutua UK ilichukuliwa na Alliance Air, kampuni hii ilikuwa ni ubia kati ya serikali ya Tanzania na shirika la ndege la Afrika Kusini SAA, ushirikiano ulipovunjwa, route yetu ikamilikiwa na SAA kwa vile hatukuwa na ndege wala uwezo wa kurusha ndege kwenda UK!. Ila sasa hata Tanzania ikipata uwezo wa kurusha ndege yetu kupeleka UK, bado tutakumbwa na tatizo la ng'ombe wa masikini hazai!, maana ndege hiyo itakamatwa mara tuu itakapotua London as an attachment ya kufidia kuikamata ile meli meli ya samaki wa Magufuli, na kushikiliwa hadi tulipe fidia ya meli ile iliyoozea Bandai ya Dar!.

Wakati haya yakiendelea, wenzetu Kenya, wanajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kingo za Mlima Kilimanjao upande wa Kenya pale Holili!, kutoka hapo ni 30 minutes drive mpaka sehemu ya kupandia mlima Kilimanjaro pale Marangu, ambao unapandwa kwa upande wa Tanzania tuu!. Kutoka KIA hadi Marangu pale pa kupandia mlima Kilimanjaro ni 1 hr drive, hivyo uwanja wa Kenya ukikamilika, watalii wanaopitia Kenya, watapanda kwa haraka zaidi mlima Kilimanjaro kuliko wanaopitia Tanzania!, by then Nchi za Afrika Mashariki tutakuwa nchi moja!, hivyo visa ni moja tuu!, what chances do we stand?!, hapa tulipo tuu, Tanzania ndio ina vivutio vingi vya utalii kuliko Kenya, lakini Kenya ndio inayoongoza kwa pato la utalii!, wengi wa watalii wanaokuja Tanzania, wanakuja kwa kupitia Kenya, na wanawajibika kulipia double visa kuingia Tanzania!, sasa just imagine kwa sasa kuingia Tanzania ni kwa visa lakini watalii wengi wanapitia Kenya, jee visa zikiondolewa hali itakuwaje?!. Usafiri wa anga na uhamasishaji utalii ni changamoto kwa serikali ya JPM!.

Pasco
mawazo ya kichadema. kwani kenya wakijenga uwanja wa ndege mpakani ili wafaidi maliasili yetu situnachukua hatua kujihami. meli meli..sasa wewe ulitakaje? wageni wanavua kwenye eneo letu la bahari kinyemela maefu ya tani na wapo vigogo walikua wanafaidika. baada ya kukamatwa serikali inapata mapato kwa kutoa leseni kwa wavuvi bahari yetu. kesi ya wazi kushindwa muulize dpp magufuli alifanya kazi nzuri kabisa. ofisi ya dpp ndio jipu na soon atatumbuliwa. kila siku kenya kenya..hamia huko kama unapenda. sisi tunajivunia tanzania.
 
Last edited:

Acha mawazo ya kimasikini
 
Watu wengine hovyo kweli, badala ya kujipanga kumshauri rais tufanye nini kufika huko waliko wenzetu, eti mawazo ya kichadema hovyo kabisa, Magufuli mwenyewe anapasua kichwa na anatamani hayo, mnafikiri kuyakashifu maendeleo ndio kumfurahisha rais?

Magufuli anajua kilicho bora na atawashangaza sana ccm atakapokuja kupewa uenyekiti wa chama, bungeni aliwaambia hapendi mipasho, sasa wale nyumbu wa ccm kina kibajaji wasio na sera ila kuzomea ndio wamefungwa midomo.

Kazi ni kwenu wapiga siasa hata kwenye maswala ya maendeleo.
 
Watu wengine hovyo kweli, badala ya kujipanga kumshauri rais tufanye nini kufika huko waliko wenzetu, eti mawazo ya kichadema hovyo kabisa, Magufuli mwenyewe anapasua kichwa na anatamani hayo, mnafikiri kuyakashifu maendeleo ndio kumfurahisha rais? Magufuli anajua kilicho bora na atawashangaza sana ccm atakapokuja kupewa uenyekiti wa chama, bungeni aliwaambia hapendi mipasho, sasa wale nyumbu wa ccm kina kibajaji wasio na sera ila kuzomea ndio wamefungwa midomo. kazi ni kwenu wapiga siasa hata kwenye maswala ya maendeleo.
Ni kweli mkuu, kuna watu wao ni kukosoa tuuuuuuuuuuu, hawana jema. Hawa hata uchukue chakula umlishe mdomoni, ukokosea kidogo ukadondosha mchuzi kwenye nguo yake atasau yote na ataanza kukosoooooooaaaa.
 
Masikini Tanzania!, tunashindwa kuchangamkia hizi fursa, kwa sababu kwa mujibu wa kanuni za kimataifa za usafiiri wa anga, ni nchi husika tuu ndio yenye uhusa kurusha direct flight kutoka nchi moja hadi nchi nyingine!. Right yetu ya kutua UK ilichukuliwa na Alliance Air, kampuni hii ilikuwa ni ubia kati ya serikali ya Tanzania na shirika la ndege la Afrika Kusini SAA, ushirikiano ulipovunjwa, route yetu ikamilikiwa na SAA kwa vile hatukuwa na ndege wala uwezo wa kurusha ndege kwenda UK!. Ila sasa hata Tanzania ikipata uwezo wa kurusha ndege yetu kupeleka UK, bado tutakumbwa na tatizo la ng'ombe wa masikini hazai!, maana ndege hiyo itakamatwa mara tuu itakapotua London as an attachment ya kufidia kuikamata ile meli meli ya samaki wa Magufuli, na kushikiliwa hadi tulipe fidia ya meli ile iliyoozea Bandai ya Dar!.

Wakati haya yakiendelea, wenzetu Kenya, wanajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kingo za Mlima Kilimanjao upande wa Kenya pale Holili!, kutoka hapo ni 30 minutes drive mpaka sehemu ya kupandia mlima Kilimanjaro pale Marangu, ambao unapandwa kwa upande wa Tanzania tuu!. Kutoka KIA hadi Marangu pale pa kupandia mlima Kilimanjaro ni 1 hr drive, hivyo uwanja wa Kenya ukikamilika, watalii wanaopitia Kenya, watapanda kwa haraka zaidi mlima Kilimanjaro kuliko wanaopitia Tanzania!, by then Nchi za Afrika Mashariki tutakuwa nchi moja!, hivyo visa ni moja tuu!, what chances do we stand?!, hapa tulipo tuu, Tanzania ndio ina vivutio vingi vya utalii kuliko Kenya, lakini Kenya ndio inayoongoza kwa pato la utalii!, wengi wa watalii wanaokuja Tanzania, wanakuja kwa kupitia Kenya, na wanawajibika kulipia double visa kuingia Tanzania!, sasa just imagine kwa sasa kuingia Tanzania ni kwa visa lakini watalii wengi wanapitia Kenya, jee visa zikiondolewa hali itakuwaje?!. Usafiri wa anga na uhamasishaji utalii ni changamoto kwa serikali ya JPM!.

Pasco
Tunaowategemea wakae chini na kuja na mikakati ya nini kifanyike kukabiliana na changamoto zilizopo ili fursa zisipotee wanatumia muda wao mwingi kwa ziara za kushtukiza, kufukuza kazi na kutembea na makundi ya waandishi mpaka usiku.
Mpaka sasa hakuna aliyeonyesha kuja na mawazo mapya zaidi ya hayo. Ila watu wakikosoa kwa nia njema wanaonekana maadui.
 
Nilitamani hoja ya Pasco ijibiwe kwa hoja na sio bla bla zenu!

Mngejibu juu ua uwanja wa ndege huo wa Kenya, pamoja na sakata LA kukamatwa kwa meli ile na rule-out iliyotolewa huko ng'ambo Wenda ningepata cha kujifunza.
 
Ni mahakama ipi iliyo wapa ushindi wa china wa samaki ?? Na Jaji alikuwa Nani ? Hakuna kipengele cha kutuwezesha kukataa rufaa.
 
Ushauri wangu na mtazamo nilionao:- Tupunguze urasimu mrefu, tupunguze gharama za viwanja ... kipato kitakuja na baadae kitUkuwaji (growth ipo tu)
Tatizo letu huwa tuna haraka sana kujilinganisha na wakongwe waloendelea na biashara ya utalii kwa mda mrefu !!!
 
Ni kweli mkuu, kuna watu wao ni kukosoa tuuuuuuuuuuu, hawana jema. Hawa hata uchukue chakula umlishe mdomoni, ukokosea kidogo ukadondosha mchuzi kwenye nguo yake atasau yote na ataanza kukosoooooooaaaa.
Mkuu kuna watu wanashangaza sana, hawana jema mradi aone kaudhi mtu yeye ndio furaha yake, watu hawa ndio wanaoharibu vya wenzao ili wafanane badala ya kutafuta vyake wafanane na wenzao kwa maendeleo, inasikitisha sana.
 
mawazo ya kichadema. kwani kenya wakijenga uwanja wa ndege mpakani ili wafaidi maliasili yetu situnachukua hatua kujihami. meli meli..sasa wewe ulitakaje? wageni wanavua kwenye eneo letu la bahari kinyemela maefu ya tani na wapo vigogo walikua wanafaidika. baada ya kukamatwa serikali inapata mapato kwa kutoa leseni kwa wavuvi bahari yetu. kesi ya wazi kushindwa muulize dpp magufuli alifanya kazi nzuri kabisa. ofisi ya dpp ndio jipu na soon atatumbuliwa. kila siku kenya kenya..hamia huko kama unapenda. sisi tunajivunia tanzania.

Myopic IQ.....sorry
 
Masikini Tanzania!, tunashindwa kuchangamkia hizi fursa, kwa sababu kwa mujibu wa kanuni za kimataifa za usafiiri wa anga, ni nchi husika tuu ndio yenye uhusa kurusha direct flight kutoka nchi moja hadi nchi nyingine!.

Right yetu ya kutua UK ilichukuliwa na Alliance Air, kampuni hii ilikuwa ni ubia kati ya serikali ya Tanzania na shirika la ndege la Afrika Kusini SAA, ushirikiano ulipovunjwa, route yetu ikamilikiwa na SAA kwa vile hatukuwa na ndege wala uwezo wa kurusha ndege kwenda UK!. Ila sasa hata Tanzania ikipata uwezo wa kurusha ndege yetu kupeleka UK, bado tutakumbwa na tatizo la ng'ombe wa masikini hazai!, maana ndege hiyo itakamatwa mara tuu itakapotua London as an attachment ya kufidia kuikamata ile meli meli ya samaki wa Magufuli, na kushikiliwa hadi tulipe fidia ya meli ile iliyoozea Bandai ya Dar!.

Wakati haya yakiendelea, wenzetu Kenya, wanajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kingo za Mlima Kilimanjao upande wa Kenya pale Holili!, kutoka hapo ni 30 minutes drive mpaka sehemu ya kupandia mlima Kilimanjaro pale Marangu, ambao unapandwa kwa upande wa Tanzania tuu!. Kutoka KIA hadi Marangu pale pa kupandia mlima Kilimanjaro ni 1 hr drive, hivyo uwanja wa Kenya ukikamilika, watalii wanaopitia Kenya, watapanda kwa haraka zaidi mlima Kilimanjaro kuliko wanaopitia Tanzania!, by then Nchi za Afrika Mashariki tutakuwa nchi moja!, hivyo visa ni moja tuu!, what chances do we stand?!

Hapa tulipo tuu, Tanzania ndio ina vivutio vingi vya utalii kuliko Kenya, lakini Kenya ndio inayoongoza kwa pato la utalii!, wengi wa watalii wanaokuja Tanzania, wanakuja kwa kupitia Kenya, na wanawajibika kulipia double visa kuingia Tanzania!, sasa just imagine kwa sasa kuingia Tanzania ni kwa visa lakini watalii wengi wanapitia Kenya, jee visa zikiondolewa hali itakuwaje?!.

Usafiri wa anga na uhamasishaji utalii ni changamoto kwa serikali ya JPM!.

Pasco

toka ulipojionyesha kumshangilia lowassa na akili zilihama,sasa umebakiza ushabiki tu usio hata na maana
 
Back
Top Bottom