Ule uongo wa miaka nenda ndio umefika tamati

Masikini Tanzania!, tunashindwa kuchangamkia hizi fursa, kwa sababu kwa mujibu wa kanuni za kimataifa za usafiiri wa anga, ni nchi husika tuu ndio yenye uhusa kurusha direct flight kutoka nchi moja hadi nchi nyingine!.

Right yetu ya kutua UK ilichukuliwa na Alliance Air, kampuni hii ilikuwa ni ubia kati ya serikali ya Tanzania na shirika la ndege la Afrika Kusini SAA, ushirikiano ulipovunjwa, route yetu ikamilikiwa na SAA kwa vile hatukuwa na ndege wala uwezo wa kurusha ndege kwenda UK!. Ila sasa hata Tanzania ikipata uwezo wa kurusha ndege yetu kupeleka UK, bado tutakumbwa na tatizo la ng'ombe wa masikini hazai!, maana ndege hiyo itakamatwa mara tuu itakapotua London as an attachment ya kufidia kuikamata ile meli meli ya samaki wa Magufuli, na kushikiliwa hadi tulipe fidia ya meli ile iliyoozea Bandai ya Dar!.

Wakati haya yakiendelea, wenzetu Kenya, wanajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kingo za Mlima Kilimanjao upande wa Kenya pale Holili!, kutoka hapo ni 30 minutes drive mpaka sehemu ya kupandia mlima Kilimanjaro pale Marangu, ambao unapandwa kwa upande wa Tanzania tuu!. Kutoka KIA hadi Marangu pale pa kupandia mlima Kilimanjaro ni 1 hr drive, hivyo uwanja wa Kenya ukikamilika, watalii wanaopitia Kenya, watapanda kwa haraka zaidi mlima Kilimanjaro kuliko wanaopitia Tanzania!, by then Nchi za Afrika Mashariki tutakuwa nchi moja!, hivyo visa ni moja tuu!, what chances do we stand?!

Hapa tulipo tuu, Tanzania ndio ina vivutio vingi vya utalii kuliko Kenya, lakini Kenya ndio inayoongoza kwa pato la utalii!, wengi wa watalii wanaokuja Tanzania, wanakuja kwa kupitia Kenya, na wanawajibika kulipia double visa kuingia Tanzania!, sasa just imagine kwa sasa kuingia Tanzania ni kwa visa lakini watalii wengi wanapitia Kenya, jee visa zikiondolewa hali itakuwaje?!.

Usafiri wa anga na uhamasishaji utalii ni changamoto kwa serikali ya JPM!.

Pasco
nachukia watu wanaoandika bila kuwa na statistics , toka lini mapato ya utalii Kenya yakawa makubwa kuliko Tanzania???

2013 Kenya total receipt 1.1 billion USD
2013 Tanzania total receipt 1.9 billion USD

2014 Kenya total receipt 1.5 Billion USD
2014 Tanzania total receipt 2.0 Billion USD

average expenditure per day per tourist Kenya 204 USD
Tanzania 317 USD per day

GDP contribution Kenya 4.8 %
Tanzania 17%

Pasco nakuheshimu, jifunze kuandika kwa kutumia data

Kenya wanachotuzidi ni idadi ya watalii ambapo wanapata average ya 1.7 million tourists annually wakati Tanzania tunapata 1.2 million annually (2014 stats). na hii inasababishwa na policy yetu ya "low volume high yield"
wakenya policy yao ni "mass tourism"
 
Things I hate in my life from the top.................
1.Poverty
2.Terrorism
3.CHADEMA.

Regarding CHADEMA, is it something unique about the party that irks you or is it the entire context of a multiparty system; you'd rather have a single party of "patriots" reigning indefinitely over the country.
 
Masikini Tanzania!, tunashindwa kuchangamkia hizi fursa, kwa sababu kwa mujibu wa kanuni za kimataifa za usafiiri wa anga, ni nchi husika tuu ndio yenye uhusa kurusha direct flight kutoka nchi moja hadi nchi nyingine!.

Right yetu ya kutua UK ilichukuliwa na Alliance Air, kampuni hii ilikuwa ni ubia kati ya serikali ya Tanzania na shirika la ndege la Afrika Kusini SAA, ushirikiano ulipovunjwa, route yetu ikamilikiwa na SAA kwa vile hatukuwa na ndege wala uwezo wa kurusha ndege kwenda UK!. Ila sasa hata Tanzania ikipata uwezo wa kurusha ndege yetu kupeleka UK, bado tutakumbwa na tatizo la ng'ombe wa masikini hazai!, maana ndege hiyo itakamatwa mara tuu itakapotua London as an attachment ya kufidia kuikamata ile meli meli ya samaki wa Magufuli, na kushikiliwa hadi tulipe fidia ya meli ile iliyoozea Bandai ya Dar!.

Wakati haya yakiendelea, wenzetu Kenya, wanajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kingo za Mlima Kilimanjao upande wa Kenya pale Holili!, kutoka hapo ni 30 minutes drive mpaka sehemu ya kupandia mlima Kilimanjaro pale Marangu, ambao unapandwa kwa upande wa Tanzania tuu!. Kutoka KIA hadi Marangu pale pa kupandia mlima Kilimanjaro ni 1 hr drive, hivyo uwanja wa Kenya ukikamilika, watalii wanaopitia Kenya, watapanda kwa haraka zaidi mlima Kilimanjaro kuliko wanaopitia Tanzania!, by then Nchi za Afrika Mashariki tutakuwa nchi moja!, hivyo visa ni moja tuu!, what chances do we stand?!

Hapa tulipo tuu, Tanzania ndio ina vivutio vingi vya utalii kuliko Kenya, lakini Kenya ndio inayoongoza kwa pato la utalii!, wengi wa watalii wanaokuja Tanzania, wanakuja kwa kupitia Kenya, na wanawajibika kulipia double visa kuingia Tanzania!, sasa just imagine kwa sasa kuingia Tanzania ni kwa visa lakini watalii wengi wanapitia Kenya, jee visa zikiondolewa hali itakuwaje?!.

Usafiri wa anga na uhamasishaji utalii ni changamoto kwa serikali ya JPM!.

Pasco
Mkuu sana Pasco ukienda pale Taveta ukaona serikali ya Kenya wanachokifanya kwenye ule mji lazima utashtuka...

Huu uwanja wao unaweza ukaua kabisa KIA yetu tusipokuwa makini, maana sio wapandaji mlima tu, mpaka wale wa kwenda Mbugani kuna big chances za kuopt kushukia Taveta kuliko Jomo Kenyatta au KIA... Sie bado tuko kwenye sinema za kushtukizana na kubomoleana nyumba wakati wenzetu wako na hesabu za miaka 10 mbele...
 
mawazo ya kichadema. kwani kenya wakijenga uwanja wa ndege mpakani ili wafaidi maliasili yetu situnachukua hatua kujihami. meli meli..sasa wewe ulitakaje? wageni wanavua kwenye eneo letu la bahari kinyemela maefu ya tani na wapo vigogo walikua wanafaidika. baada ya kukamatwa serikali inapata mapato kwa kutoa leseni kwa wavuvi bahari yetu. kesi ya wazi kushindwa muulize dpp magufuli alifanya kazi nzuri kabisa. ofisi ya dpp ndio jipu na soon atatumbuliwa. kila siku kenya kenya..hamia huko kama unapenda. sisi tunajivunia tanzania.
Unajivunia Tanzania wakati maandishi yako yanaonyesha ulivyoidharau.... Huipendi Tanzania, unafaidika na limfumo la chama
 
Regarding CHADEMA, is it something unique about the party that irks you or is it the entire context of a multiparty system; you'd rather have a single party of "patriots" reigning indefinitely over the country.
I dont hate it just as a party.Why CDM and not the other 21 political parties in the Tanzanias political arena????????????Ignorance is far better than FALSE KNOWLEDGE.
 
mawazo ya kichadema. kwani kenya wakijenga uwanja wa ndege mpakani ili wafaidi maliasili yetu situnachukua hatua kujihami. meli meli..sasa wewe ulitakaje? wageni wanavua kwenye eneo letu la bahari kinyemela maefu ya tani na wapo vigogo walikua wanafaidika. baada ya kukamatwa serikali inapata mapato kwa kutoa leseni kwa wavuvi bahari yetu. kesi ya wazi kushindwa muulize dpp magufuli alifanya kazi nzuri kabisa. ofisi ya dpp ndio jipu na soon atatumbuliwa. kila siku kenya kenya..hamia huko kama unapenda. sisi tunajivunia tanzania.

Ndugu inaonekana maguo ya Kijani yamekufunika hata hujui mbele kunanini pole sana.....
 
Ni ukweli usiopingika kuwa majirani zetu wanatumia udhaifu wetu .kwan pamoja na kuwa na vivutio vingi vya watali hatuvitumii ipasavyo.Sasa wenzetu wanaona fursa hiyo wanaitumia tunaanza kulalama .
Pasco tulia tunyolewe
 
Last edited:
toka ulipojionyesha kumshangilia lowassa na akili zilihama,sasa umebakiza ushabiki tu usio hata na maana

Mkuu kwanini usijibu alichoandika badala yakumshambulia??? Wee sema sio kweli kwamba wakenya hawajengi huo Uwanja lete Fact zako kumshambulia mleta hoja manake jamaa anasema kweli wewe hupendi kuusikia ukweli nahii ndio imuharibu wakati wa Mkwere mlimuimbia kila aina nyimbo Leo mnajifanya kumponda nakumsifia Jpm
 
Things I hate in my life from the top.................
1.Poverty
2.Terrorism
3.CHADEMA.

!
!
Mimba huwa zina dalili nyingi sana. Wapo ambao hula udongo, mkaa au malimao. Lakini wapo pia ambao huwachukia waume zao. Kawaida sana ukijifungua tatizo litaisha
 
Kijana wa ARUSHA Mwenye AKILI na ANAYEJITAMBUA Aolewa MAREKANI...........................

12279164_807943905980853_3260613062629581131_n-jpg.307523
12279164_807943905980853_3260613062629581131_n-jpg.307523
 
Masikini Tanzania!, tunashindwa kuchangamkia hizi fursa, kwa sababu kwa mujibu wa kanuni za kimataifa za usafiiri wa anga, ni nchi husika tuu ndio yenye uhusa kurusha direct flight kutoka nchi moja hadi nchi nyingine!.

Right yetu ya kutua UK ilichukuliwa na Alliance Air, kampuni hii ilikuwa ni ubia kati ya serikali ya Tanzania na shirika la ndege la Afrika Kusini SAA, ushirikiano ulipovunjwa, route yetu ikamilikiwa na SAA kwa vile hatukuwa na ndege wala uwezo wa kurusha ndege kwenda UK!. Ila sasa hata Tanzania ikipata uwezo wa kurusha ndege yetu kupeleka UK, bado tutakumbwa na tatizo la ng'ombe wa masikini hazai!, maana ndege hiyo itakamatwa mara tuu itakapotua London as an attachment ya kufidia kuikamata ile meli meli ya samaki wa Magufuli, na kushikiliwa hadi tulipe fidia ya meli ile iliyoozea Bandai ya Dar!.

Wakati haya yakiendelea, wenzetu Kenya, wanajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kingo za Mlima Kilimanjao upande wa Kenya pale Holili!, kutoka hapo ni 30 minutes drive mpaka sehemu ya kupandia mlima Kilimanjaro pale Marangu, ambao unapandwa kwa upande wa Tanzania tuu!. Kutoka KIA hadi Marangu pale pa kupandia mlima Kilimanjaro ni 1 hr drive, hivyo uwanja wa Kenya ukikamilika, watalii wanaopitia Kenya, watapanda kwa haraka zaidi mlima Kilimanjaro kuliko wanaopitia Tanzania!, by then Nchi za Afrika Mashariki tutakuwa nchi moja!, hivyo visa ni moja tuu!, what chances do we stand?!

Hapa tulipo tuu, Tanzania ndio ina vivutio vingi vya utalii kuliko Kenya, lakini Kenya ndio inayoongoza kwa pato la utalii!, wengi wa watalii wanaokuja Tanzania, wanakuja kwa kupitia Kenya, na wanawajibika kulipia double visa kuingia Tanzania!, sasa just imagine kwa sasa kuingia Tanzania ni kwa visa lakini watalii wengi wanapitia Kenya, jee visa zikiondolewa hali itakuwaje?!.

Usafiri wa anga na uhamasishaji utalii ni changamoto kwa serikali ya JPM!.

Pasco
 
Masikini Tanzania!, tunashindwa kuchangamkia hizi fursa, kwa sababu kwa mujibu wa kanuni za kimataifa za usafiiri wa anga, ni nchi husika tuu ndio yenye uhusa kurusha direct flight kutoka nchi moja hadi nchi nyingine!.

Right yetu ya kutua UK ilichukuliwa na Alliance Air, kampuni hii ilikuwa ni ubia kati ya serikali ya Tanzania na shirika la ndege la Afrika Kusini SAA, ushirikiano ulipovunjwa, route yetu ikamilikiwa na SAA kwa vile hatukuwa na ndege wala uwezo wa kurusha ndege kwenda UK!. Ila sasa hata Tanzania ikipata uwezo wa kurusha ndege yetu kupeleka UK, bado tutakumbwa na tatizo la ng'ombe wa masikini hazai!, maana ndege hiyo itakamatwa mara tuu itakapotua London as an attachment ya kufidia kuikamata ile meli meli ya samaki wa Magufuli, na kushikiliwa hadi tulipe fidia ya meli ile iliyoozea Bandai ya Dar!.

Wakati haya yakiendelea, wenzetu Kenya, wanajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kingo za Mlima Kilimanjao upande wa Kenya pale Holili!, kutoka hapo ni 30 minutes drive mpaka sehemu ya kupandia mlima Kilimanjaro pale Marangu, ambao unapandwa kwa upande wa Tanzania tuu!. Kutoka KIA hadi Marangu pale pa kupandia mlima Kilimanjaro ni 1 hr drive, hivyo uwanja wa Kenya ukikamilika, watalii wanaopitia Kenya, watapanda kwa haraka zaidi mlima Kilimanjaro kuliko wanaopitia Tanzania!, by then Nchi za Afrika Mashariki tutakuwa nchi moja!, hivyo visa ni moja tuu!, what chances do we stand?!

Hapa tulipo tuu, Tanzania ndio ina vivutio vingi vya utalii kuliko Kenya, lakini Kenya ndio inayoongoza kwa pato la utalii!, wengi wa watalii wanaokuja Tanzania, wanakuja kwa kupitia Kenya, na wanawajibika kulipia double visa kuingia Tanzania!, sasa just imagine kwa sasa kuingia Tanzania ni kwa visa lakini watalii wengi wanapitia Kenya, jee visa zikiondolewa hali itakuwaje?!.

Usafiri wa anga na uhamasishaji utalii ni changamoto kwa serikali ya JPM!.

Pasco
Nachukia sana watu wanaopotosha ukweli. Shirika la ndege ni shirika (kampuni) linalojitegemea ijapokuwa litakuwa na linamilikiwa na serikali. Kanuni za kampuni ni kwamba huwezi ihusisha na personal affairs za mmliki hata kama inamilikiwa na mtu mmoja. Kwa hiyo kampuni haiwezi beba deni la mmiliki(share holder) wala mmiliki wa kampuni hawezi wajibishwa kwa kosa au deni la kampuni.
Kwa maana hiyo ndege za ATC haziwezi kamwe kushikiliwa kwa sababu ni Tanzania inadaiwa. Tanzania ni Tanzania na ATC ni ATC. Labda kama ungelisema kuwa ATC iliwahi kukopa mahali na haikulipa na hivyo inadaiwa. Lakini nayo si shida kwani nasi tunaweza anzisha shirika jipya kabisa lenye jina tofauti huku ATC ikiendelea kama kuna wadai basi waje wakamate mali zake.
 
Majeruhi wa uchaguzi mnaudhi sana. Uchaguzi umekwisha, tujenge nchi sasa
 
Tuko bize na bomoabomoa hayo masuala ya utalii subirini tutafanya 'ziara ya kushtukiza' huko!
 
mkuu hebu tukumbushe kidogo hukumu ya kesi ya samaki wa mguful
 
Mkuu kuna watu wanashangaza sana, hawana jema mradi aone kaudhi mtu yeye ndio furaha yake, watu hawa ndio wanaoharibu vya wenzao ili wafanane badala ya kutafuta vyake wafanane na wenzao kwa maendeleo, inasikitisha sana.
linaitwa gubu kule uswahilini
 
Nana
mawazo ya kichadema. kwani kenya wakijenga uwanja wa ndege mpakani ili wafaidi maliasili yetu situnachukua hatua kujihami. meli meli..sasa wewe ulitakaje? wageni wanavua kwenye eneo letu la bahari kinyemela maefu ya tani na wapo vigogo walikua wanafaidika. baada ya kukamatwa serikali inapata mapato kwa kutoa leseni kwa wavuvi bahari yetu. kesi ya wazi kushindwa muulize dpp magufuli alifanya kazi nzuri kabisa. ofisi ya dpp ndio jipu na soon atatumbuliwa. kila siku kenya kenya..hamia huko kama unapenda. sisi tunajivunia tanzania.[/QU

Baba yako aliuza ng'ombe ili ng'ombe mwingine (wewe)ukasome
 
I dont hate it just as a party.Why CDM and not the other 21 political parties in the Tanzanias political arena????????????Ignorance is far better than FALSE KNOWLEDGE.

You're very right about ignorance but utterly lost in false knowledge. My question still stands.
 
Kitu ambacho sasa Wenzetu hawawezi ni ule uongo wa mchana kweupe. Kama itajulikana wanatumia mbinu chafu na sisi tunaweza anayetaka kupanda mlima kutoka Kenya atalipa mara kumi ya yule anayekuja moja kwa moja KIA
 
Back
Top Bottom