Khaaaa sasa nifanyeje ili kuepukana na iloIle ni fungus inawasha tu nakutoa unga mweupe inatokana na uchafu wewe sio msafi , halafu kingine inatokana na uvaaji wa kinga ambapi mafuta yake hayajakupendeza so yanaleta fungus
Khaswaaaa chiefni ukurutu tu
Huwezi sikia wewe harufu na Dem wako hawezi kukuambiaHaina harufu chief
Ulikuwa ufuti Kwa umakin, itakuwa umeanza kunzigatia baada ya kuupataMmmh kujifuta kupaka mafuta vyote nafanya mbn chief
Hampitwi na ktu 🤓🤓🙌🙌
Khaaaaa hii tiba mbadala asante chiefVaa boxer iwe kama bukta sio za kubana sana na pia usipendelee kuvaa boxer zaidi ya miezi miwili kwani sh ngapi?
Huku chini jaribu pawe safi kuosha tupu ukijisaidia ,Paka hata poda kama ushapata huo ugonjwa.
Ni kweli kabisaHuwezi sikia wewe harufu na Dem wako hawezi kukuambia
Kumbe mwanaumeJoto+ jasho+ nguo za kubana na nzito + mavuzi marefu + uchafu + kutokuoga = fangasi sugu na muwasho.
Ubongo umeshtuka sasa kulala na majimaji baada yakuoga nikukwepa joto😂Ulikuwa ufuti Kwa umakin, itakuwa umeanza kunzigatia baada ya kuupata
Et mafuta ya kingaIle ni fungus inawasha tu nakutoa unga mweupe inatokana na uchafu wewe sio msafi , halafu kingine inatokana na uvaaji wa kinga ambapi mafuta yake hayajakupendeza so yanaleta fungus
Asante kiongozi ntafanya ivoTumia Ketoconazole ointiment mara mbili kwa siku kila baada ya kuoga kwa wiki 2.
🌚🌚Et mafuta ya kinga
🤓🤓🤓🙌🙌🤝
Ni kweli awe anajipaka mafuta mkuu !!!?Hiyo huitwa PUMBU JERO(jina la kitaani),inatokea San hasa kama unaoga maji ya chumvi au mda mwingine ambayo hata siyo ya chumvi?
Hii hutokea maeneo hayo kwasababu ya kutokujifuta vinzur baada ya kuoga maeneo hayo,,.
Kumbuka ktk KORODANI wakati unaoga Ile ngozi yake Huwa inajikunja hivyo usipofuta vinzuri Huwa inabaki na unyevunyevu Kwa mda fulan hali hiyo hupelekea kuharibu ngozi especially maji ya chumvi
Tiba yake uwe unajipaka mafuta ngozi yenyewe itaanza kulainika pia uwe unajifuta vinzur baada ya kuoga.
Hii imetutesa San enzi hizo tunasoma shule hasa za boarding
Na hili inaweza isiwe kwangu hata kwako ni msaada kwa wote piaKumbe mwanaume
Mafuta gani au ata mgando chiefNi kweli awe anajipaka mafuta mkuu !!!?
Mii ndo nashangaa hapaMafuta gani au ata mgando chief