Ule ukabila vipi?


Na Mabula ni wa wapi?

Zingatio: mimi na ukabila ni maji na mafuta.
 
Chuki tu. Wasukuma ni jamii kubwa ambayo haijawahi kusubiri uteuzi kuendesha maisha yao
Kusema Magufuli alikuwa anachukia wachaga siyo uongo. Hili liko wazi na nilipata info kutoka ndani kabisa. Kusema Magufuli alikuwa anapendelea watu wa kanda ya Ziwa kwa uteuzi siyo uongo. Tunaweza kubishana mpaka kesho lakini ndivyo. Imebaki kuwa historia na nia yake ovu imebaki historia.
 
Naam, na tofauti ni kwamba waliokuwa wanatoa tuhuma hizi ni viongozi wa serikali na chama tawala na hivyo propaganda hizo zilitumika kuzichafua na kukandamiza sauti zao. Wahenga wanasema...give a dog a bad name and then hang him!
 
Kama amefika daraja la juu na kuwa na hadhi ya kuongoza jeshi hapo hakuna ukabila Bali cheo ndio kinaongea na nafasi yake jeshini
 
Nimekuelewa vizuri sana. Wewe unachofanya ni upotoshaji kwamba watu walisema hivyo kwa kuangalia nafasi moja tu wakati waliangalia trend za teuzi.Wakati huo Waliangalia TRC, KM Hazina, Waziri Nishati,Waziri Mifugo, RC Dar , NW Ardhi, NW Madini

Kipindi cha kina Mramba,Yona,Mgonja,Kitillya,Kimei ilikuwaga sawa si ndiyo?
 

Usilete blah blah hapa,wale walikuwa Wapare wakijenga Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla wake. Nakuuliza tu swali moja,nyinyi Kaskazini ndiyo mna haki zaidi kuliko wengine katika hii Nchi?
 

Mbona leo mnanyoosha mikono kwa CDF Mabeyo,au yeye hakuteuliwa na JPM,au mnatamani na yeye mmpachike jina la Massawe?
 
Mbona leo mnanyoosha mikono kwa CDF Mabeyo,au yeye hakuteuliwa na JPM,au mnatamani na yeye mmpachike jina la Massawe?
Wakina nani? Unaota? Uliona wapi nanyoosha mikona kwa CDF? Umenifananisha wewe
 
Waasisi wa siasa za ukabila, ukanda na udini ni CCM wenyewe, hizi ni hoja zao mezani mwao siku zote hata hoja ya usukuma imeibuliwa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…