Venus yupi? wa wa Nchi gani? ambaye anafanya nini (Kwanini ajulikane na kila mtu)? AhsanteNakumbuka siku za nyuma kulizuka ugomvi wa kukata na shoka, ugomvi ulikuwa wa kugombea mwanaume.
Napenda kujua nani alishinda na nani alishindwa? Maana jamaa inasemakana wakati ana gombaniwa alikuwa amemtelekeza mkewe wa ndoa lkn wawili hawa hawakujali hayo kila mtu akawa anajaribu kutafuta nafasi ya kuwa Mrs wa jamaa.
Naomba kujuzwa nani aliibuka kidedea na kuolewa na jamaa au wote mlikula kibuti?
Naomba kusahihishwa kama ntakuwa sipo sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ulivyochangia hapa unapata hela? Kama huna jibu si lazime uchangie
Huo ni mtazamo wako tu, kama hujui jambo usiwe nakiherehere kujibuVenus yupi? wa wa Nchi gani? ambaye anafanya nini (Kwanini ajulikane na kila mtu)? Ahsante
Yeah ulikuwa humuUgomvi ulikuwa wa humu JF?au ni movie?mi ata sijaelewa
Mh
Huo ni mtazamo wako tu, kama hujui jambo usiwe nakiherehere kujibu
Sent using Jamii Forums mobile app