ule mswaada wa cameroon umeshapitishwa Tayari..!!

natamani nimchinje huyu cameroon nyama yake nimpe pusi ale,pusi nimpe sumu afe nikamzike katikati ya bahari
Huyo hana mpango wala nini,sasa mabinti wazuri watahudumiwa na nani kama anataka huu mchezo wa kaumu Lutwi? I say "NO" to Mr.Gay Cameron. Nalog off
 
ndo nataka fais buku aniambie kwa mfano ndo sheria imepitishwa,yeye kama mwanamke anapata matatizo gani?au yeye kwanini anaipinga?koz nilijua hili ni janga la wanaume.je wasichana kwanini wanalalamika.mia

Labda anawaonea huruma wanaume wao watakavyoharibika. maana kuliwa kiboga na kula kiboga yote ni matatizo
 
mfano ndo ipitishwe.kidume gani kitathubutu kutembea usiku?

kwani kutakuwa na shida gani ya kutembea usiku hii ni sheria ya kuwaruhusu wenye tabia hyo kujiweka wazi kama inavyofanyika kwao wala haimaanishi wanaume ndo tutakuwa tukikutana basi tunakamuana. Tuache kutoa tafsiri potofu kama vipi ni bora kukaa kimya
 
Back
Top Bottom