figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
ndo ule mswaada wa kameruni waziri aukubali.utaamsha hisia zako ili kujiandaa kushughulikiana?.mia
Hii ndiyo siku alipokuwa akihutubia mkutano wa jumuia ya Madola...
View attachment 40712
natamani nimchinje huyu cameroon nyama yake nimpe pusi ale,pusi nimpe sumu afe nikamzike katikati ya bahari
hivi kama nyie wasichana inawauma nini?watakao oana si wanaume kwa wanaume?wewe kam wewe unaathirika vipi?mia
in red...
mgongano wa kimaslahi...mia
yani mkuu unamaana kuna midume itatoa upinzani mkubwa sana kwa kina dada?
Kwa nini umchinje, tumezoea kula vya watu bure. Nadharia rahisi sana ya Cameroon, unataka msaada shika ukuta kwanza!natamani nimchinje huyu cameroon nyama yake i
Kwa nini umchinje, tumezoea kula vya watu bure. Nadharia rahisi sana ya Cameroon, unataka msaada shika ukuta kwanza!
in red...
mgongano wa kimaslahi...mia
MzeeWaShamba umenichekesha....mia.in red...
mgongano wa kimaslahi...mia
Mkuu wa kaya aliwahi nena ukitaka kula lazima uliwe.....nadhani kamerun alimnukuu ndio maana akaja hii bila chenga
Ni cameron sio cameroon.mia.
Binti unatokea Machame nini maana we acha tu lol!natamani nimchinje huyu cameroon nyama yake nimpe pusi ale,pusi nimpe sumu afe nikamzike katikati ya bahari