Ule msimu umeanza tena....

Ule msimu umeanza tena....

Hivi vijana wa kileo wanaweza kufanya hivi au wataishia kuvunjika viungo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I never talked about mob thinking... But reality.... Na nilichoandika ni misingi si kila mtu lazima afanane na wengine la hasha.... Lakini sisi tulio kwenye interaction kubwa na vijana tunaliona tatizo
Between first impression can lead you to a certain conclusion....
You didn't talk about mob thinking but you are insinuating mob thinking unapotaka kutuaminisha kwamba kuna a specific way wanaume wote tunatakiwa tuwe, unaposema ni misingi ni misingi ya nani au ni mazoea ya jamii yako/rika lako/kabila lako
Unaposema sisi, Sisi kama nani...
Every one has his own way, as I said there is no longer survival of the strongest, it's survival of the smartest and the ones that are quick to adopt to this rapidly changing world
Nyie stick within the mob psychology ya misingi, waache millennials/generation Z to go their own way.
Dunia always imekuwa haipendi individual free thinkers ndo maana wakina Galileo, da Vinci, Socrates walipitia trials nyingi
 
Ok thanks for sharing....!!!
 
1105778
Toto lenyewe sijui..!! hivi na huu msimu bado upo?
 
Attachments

  • 1558624299491.png
    1558624299491.png
    14.1 KB · Views: 19
Waambie maana wamezidi na mada zao sisizo na maana wala tija, namuona muwakilishi mmoja hapo juu kisha lalama.[emoji23][emoji23] hawapendagi kukosolewa hao.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom