Ule msimu umeanza tena....

Ule msimu umeanza tena....

Mkuu Unachosema ni kweli mfano mimi huwa napenda kula nafaka zisizonajisiwa, tetele za maboga + maboga yenyewe, mboga za kijani mbichi mbichi daily siruhusu ziive sana, matunda, kwa ujumla nakula vyakula natural sasa watu wanasemaga eti hivyo ni vyakula vya watu fukara mi huwa nawaangalia kisha nawaonea huruma.
Wazungu wamestuka sasa hivi vyakula asili vina bei ghali kuliko vyakula vya kusindikwa viwandani
 
Mwingine nilitaka nimzabe mabanzi eti anaongea na mimi huku analamba lamba mi lips yake , huku you know you know zikiwa kibao nikasema toka hapa paka wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kukikaribia kuchwa
yaani mtu hata akiku- quote saa8 za usiku, utamjibu hata.. Iwe saa11 asubuh utamjibu piah sasa swali langu huwa una lala saa ngapi na kingine huwa unafanya kazi saa ngapi maana sijawahi kukukoswa JF hata dk1...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Shetani yupo kazini
 
yaani mtu hata akiku- quote saa8 za usiku, utamjibu hata.. Iwe saa11 asubuh utamjibu piah sasa swali langu huwa una lala saa ngapi na kingine huwa unafanya kazi saa ngapi maana sijawahi kukukoswa JF hata dk1...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nafanya kazi kama chumaulete zinaingia tu bila kutaabika
 
 

😂😂😂😂
Jiwe gizani nini Mkuu...!!!?
 
Mada nyingi humu sababu ya asili zetu wanaume,jamii imemuaminisha mwanaume hatakiwi kusema shida zake kwa watu baki nazo moyoni maana ukisema Ni aibu kwako sasa inapotokea wanaume wanapata sehemu ambapo wataja kero zao bila kujulikana na mtu, basi huo Ni uwanja wa wanaume kutoa duku duku lake walau moyo utulie.

Wenzetu ukimtesa tesa kidogo tu anaenda kusema kwa marafiki zake, stress yanaisha sisi sasa njia yetu ya kukabiliana na stress Ni upige mtu makofi au ushinde baa unaelewa au utafute mwanamke mwingine sasa mtandao umetujia na njia mpya nayo Ni hii ya kushare matatizo bila kujuana.Unadhani tungekuwa live live kuna mwanaume angesema matatizo?hell No.

Ukileta mambo ya zamani nitakwambia mama zetu walikuwa na tabia zao na sisi kizazi chetu kina wanawake wenye tabia zao
 
Back
Top Bottom