Ulazima wa spika kutoka chama cha siasa, kwa hali tuliyoiona kikao kilichopita je?

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Ndugu wana JF,tunaambiwa spika lazima awe mbunge au mtu yeyote mwenye sifa ya kuwa kuwa mbunge.na atokane na chama cha siasa.wakati bunge si chama cha siasa bali kinachotetea katiba ya nchi.kwa nini iwe hivyo wakati katiba ya nchi si katiba ya chama cha siasa? Demokrasia haina chama cha siasa,sharti la spika atokane na chama cha siasa ni uzushi na ndio chanzo cha malumbano ya kisiasa na uchama usiotakiwa bungeni unaouwa umakini na wa wabunge na bunge kama tulivyoshuhudia,naomba kuwakilisha....
 
Back
Top Bottom