mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,182
- 8,332
- Thread starter
-
- #21
dah..sawaa mkuu inauma japo unachosema nikweli.Wewe mwehu ndama unawakilisha vijana wa sasa wa Tz. Miezi mitatu unataka uwe iumetimiza ndoto zako zote. Ndio nyinyi mkiajiriwa unataka miezi mitatu ununue gari,ujenge,uoe,uwe na bilioni benki matokeo yake mnakuwa wezi mnaishia jela.
Maisha sio rahisi kama unavyotaka iwe.
Ni mzee huyu huyu wa humu ndani??...teh[emoji23]Chambisha wazungu wewe, Kuna mzee wa Kinigeria aliniambia akiona mavi ya wazee kwake anaona US$
Usirudi.ukitaka connection za kazi jichanganye na wacongo na warundi.wale watu watakusaidia kupata kazi mpaka mahala pa kukaa.nenda makanisa yao na please usikate tamaa.achana na cycle ya watz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaa[emoji16][emoji16]Chambisha wazungu wewe, Kuna mzee wa Kinigeria aliniambia akiona mavi ya wazee kwake anaona US$
ExactlyWewe mwehu ndama unawakilisha vijana wa sasa wa Tz. Miezi mitatu unataka uwe iumetimiza ndoto zako zote. Ndio nyinyi mkiajiriwa unataka miezi mitatu ununue gari,ujenge,uoe,uwe na bilioni benki matokeo yake mnakuwa wezi mnaishia jela.
Maisha sio rahisi kama unavyotaka iwe.
Walikwambia ukifika leo baada ya siku mbili unapata kazi na mambo yako yananyooka? Kwanini vijana wa bongo mna mihemko kiasi hiki.... Nadhani hii ni sababu ya ponzi schemes na kamari kushika hatamu sana Tz, mihemko! Mihemko!