Ulaya na Marekani Amkeni mmeshavamiwa tayari!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,030
Hapo ni Uingereza wavamizi tayari wako ndani sasa hivi wanaweka tamaduni zao, kwa miaka 10 inayoitwa Ulaya na Marekani zitakuwa chini ya mtu mwingine kabisa.

WAKE-UP EUROPE!!! WAKE-UP AMERICA!!!
 
View attachment 3322765

WAKE-UP EUROPE!!! WAKE-UP AMERICA!!!
Katika mipango yake mwenyezimungu hakuna atakayezuia ukipanga hili na mwenyezimungu anapanga yake
Watazidi kwnd Europe sababu wanavuna walichopanda...
 
Hapo ni Uingereza wavamizi tayari wako ndani sasa hivi wanaweka tamaduni zao, kwa miaka 10 inayoitwa Ulaya na Marekani zitakuwa chini ya mtu mwingine kabisa.

View attachment 3322765

WAKE-UP EUROPE!!! WAKE-UP AMERICA!!!
Shetani huwa anashindwa kila akijaribu... Trump alishawahi sema hawa jamaa hawatupendi.. Ni wanafiki tu wanajifanya wazuri usoni ila mioyoni mwao ni joka.

Unaita watu waje ku pray wakati unajua Allah huwa anashuka kila usiku third party of the night hadi mbingu ya chini chini na anauliza nani anaswali nimsikie? kasahau kuwa kawaambia waswali mara tatu mchana na kabla jua kuzama so kuswali mida ya kabla ya jua alifajili au kabla ya usiku ni upuuzi no body ina Allah group analojiita nalo eti Sisi hawawezi sikia waste of time and energy... Allah alijua dunia ni flat so anaweza shuka mara moja tu kumbe Dunia ni Tufe so kazi yake ni kupanda na kushuka kila nchi kutokana na masaa yanavyo change... up and down up and down... Dini zingine kuzifuata unakuwa kichaa cha dogy.

: Sahih Muslim 758b
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
Allah descends every night to the lowest heaven when one-third of the first part of the night is over and says: I am the Lord; I am the Lord: who is there to supplicate Me so that I answer him? Who is there to beg of Me so that I grant him? Who is there to beg forgiveness from Me so that I forgive him? He continues like this till the day breaks.
 
Waingereza na Wajerumani wamelala wanapenda democracy subir wataiona shoo , after 30 yrs.
 
Hapo ni Uingereza wavamizi tayari wako ndani sasa hivi wanaweka tamaduni zao, kwa miaka 10 inayoitwa Ulaya na Marekani zitakuwa chini ya mtu mwingine kabisa.

View attachment 3322765

WAKE-UP EUROPE!!! WAKE-UP AMERICA!!!
Awa ni watu wa aman wanasambaza upendo popote usiogope ndugu..!!

mbona Waislamu uwa awaogopi kuwaona Walokole wakigeuza Stendi za Daladala kuwa Makanisa !!!

au seem ya mikusanyiko na wala akuna malalamiko upende wa Waislamu!!

Mnatia aibu kulialia namambo madogo !!!

Muwe wavumivu wenye mioyo ya jiwe..
 
Waingereza na Wajerumani wamelala wanapenda democracy subir wataiona shoo , after 30 yrs.
Achaaa wwww punguza chuki !!!

kama kufa WAZUNGU walikufa kama sisimizi Vita ya kwanza na ya pili ya Dunia Wazungu walikufa milion 30 +

jamiii ya Waislamu aikuusika ata chembe ndogo

Yameuwana Makristo kwa Nakristo !!!!

sasa awa Waislamu wananini cha kuwatisha WAZUNGU!!!!!!!!!!
 
Shetani huwa anashindwa kila akijaribu... Trump alishawahi sema hawa jamaa hawatupendi.. Ni wanafiki tu wanajifanya wazuri usoni ila mioyoni mwao ni joka.
Jee Wakristo wanawapenda waislamu kutoka moyoni mwao??
Unaita watu waje ku pray wakati unajua Allah huwa anashuka kila usiku third party of the night hadi mbingu ya chini chini na anauliza nani anaswali nimsikie?
Unapotosha mambo. Unazungumza mambo usiyoyajua.

Ngoja nikusaidie Allah haulizi nani anaswali huwa anauliza nani mwenye shida nimtatatulie katika huo usiku ambao watu wengi wanakuwa wamelala. Hivyo hiyo ni alama ya ubora wa kuamka usiku kuomba Dua na sio kuswali.

kasahau kuwa kawaambia waswali mara tatu mchana na kabla jua kuzama so kuswali mida ya kabla ya jua alifajili au kabla ya usiku ni upuuzi no body ina Allah group analojiita nalo eti Sisi hawawezi sikia waste of time and energy...
Huu ni uongo na ujuaji katika ujinga. Tuletee maandiko tuyaone hapa.
Allah alijua dunia ni flat so anaweza shuka mara moja tu kumbe Dunia ni Tufe so kazi yake ni kupanda na kushuka kila nchi kutokana na masaa yanavyo change... up and down up and down... Dini zingine kuzifuata unakuwa kichaa cha dogy.
Hoja yako ipo wapi mbona unazungumza bila mpangilio wa hoja wala mada yako haijulikani unaruka huku unarukia kule. Be smart gentleman!!!!

: Sahih Muslim 758b
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
Allah descends every night to the lowest heaven when one-third of the first part of the night is over and says: I am the Lord; I am the Lord: who is there to supplicate Me so that I answer him? Who is there to beg of Me so that I grant him? Who is there to beg forgiveness from Me so that I forgive him? He continues like this till the day breaks.
Kwaiyo suppplicate ndio kuswali?? Punguza chuki kijana.

Alafu ndio ninyi kwa kujisifu kuwa Ni watu wa upendo bila chuki sijui watu safi. NDO NAMNA HII???
 
Hawajui kiswahili ungewaandikia kizungu
 
Jee Wakristo wanawapenda waislamu kutoka moyoni mwao??

Unapotosha mambo. Unazungumza mambo usiyoyajua.

Ngoja nikusaidie Allah haulizi nani anaswali huwa anauliza nani mwenye shida nimtatatulie katika huo usiku ambao watu wengi wanakuwa wamelala. Hivyo hiyo ni alama ya ubora wa kuamka usiku kuomba Dua na sio kuswali.

Huu ni uongo na ujuaji katika ujinga. Tuletee maandiko tuyaone hapa.

Hoja yako ipo wapi mbona unazungumza bila mpangilio wa hoja wala mada yako haijulikani unaruka huku unarukia kule. Be smart gentleman!!!!

Kwaiyo suppplicate ndio kuswali?? Punguza chuki kijana.

Alafu ndio ninyi kwa kujisifu kuwa Ni watu wa upendo bila chuki sijui watu safi. NDO NAMNA HII???
Usipoteze Nguvu kubishana na Kafiri
 
Kafiri wa kwanza ni wewe!!!!
Unakataa identity yako kuwa wewe ni kafiri.. jipige kifua jikubali kwamba wewe ni kafiri sio tusi bali ni sifa yako ..kwa kuwa sio muislam
 
Back
Top Bottom