Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 3,771
- 4,904
IRANI ameshafanya makosa makubwa sana kufanya majaribio ya makombora balestiki ya (intermediate-range ballistic missiles)
Viongozi wa Irani hawatumii akili na wana mihemuko sana wanakurupuka mno.
Unapoenda kutumia makombola ya namna hii ina màana unawapa nguvu Israel ambao kila siku ya likuwa ni madai yao
Kuwa inatengeneza makombora ya kulenga miji ya Ulaya ina maana Israel ataonekana yupo sahihi maana ulisha wahi kuulizwa kuwa unatengeza hayo makombora ya 4000km ukakataa.
Israel anataka kuitumia hiyo ndio kigezo na alisha wahi kuwa ambia ulaya kuwa Iran inatengeza mabomu ya kuweza kufika ulaya kwenye miji yao mikubwa.
Lakini umoja wa ulaya ulipuuza na kukataa sasa irani wamesha tumia hilo bomu zapo haya kufanikiwa kufanya mazara
Ulaya lazima wainuse hiyo hatari wataka wasitake Irani kaji kaanga yeye mwenyew kwa mafuta yake mwenyew
Kutafuta sifa na kuonekana anapambana kunaenda kufanya Israel wapewe angizo la kumaliza hiyo kazi hapo ndipo atapigwa mpaka atachakaa maana target itakuwa sio tena kuangalia watu na malizao
Saiv Israel na Marekani wapo kule ila wanaangalia wasitengeneze mazara makubwa kwa watu
Irani inaongozwa na watu wa sio na uwezo wa kufikirilia na kuchanganua mambo.
Kombora alilofyatua hata halikuleta mazara kwa sababu ya ubali kulikuwa na haja ipi ya kufyatua Kombora ambalo halitaleta madhara
Utawala wa dola ya Kiislamu ya ilani inaongonzwa na watu wa hovyo na ujajusi wao ni hovyo.