Ulaya imeamini sasa Israel alikuwa sahihi baada ya Iran Kurusha kombora lenye uwezo wa kupiga nchi za ulaya km 4000 ni kosa kubwa la Iran kimkakati

Ulaya imeamini sasa Israel alikuwa sahihi baada ya Iran Kurusha kombora lenye uwezo wa kupiga nchi za ulaya km 4000 ni kosa kubwa la Iran kimkakati

Unaelewa nini kuhusu deterrence kwenye mambo ya defense?
Iran alirusha kombora bila kuanza kushambuliwa?
Amerushia kombora nchi ambayo haijahusika kwenye kuishambulia Iran moja kwa moja au kwa kuwasaidia adui wa Iran?
Kwanza inaweza kuwa like shambulio hakufanya Iran Bali false flag.
Tumieni akili zenu nyingi angalau kidogo badala ya ushabiki.
Alivyoishambulia Saudi Arabia na Qatar Dubai Kuna kombora lolote lilikuwa limerushwa kutoka hizo nchi
 
UNachosha nilifikiri una uwezo wa kuelewa hoja nilizokupa

Uhuru wa watu kujiamulia mambo Yao ni muhimu kuliko dikteta mmoja kuhodhi Kila kitu na kugawa anavyotaka yeye kama mali yake binafsi

Marekani anafanya biashara ya kununua mafuta sio KUIBA mafuta kama mnavyokaririshana huko vijiweni
Endelea kutetea taifa ovu kuliko yote duniani, kwa nini asinunue hali ikiwa shwari, lazima atengeneze conflicts an divisions ili apate nafasi ya kuchukua anachotaka.

Unadhani Marekani ana urafiki wa hivyo, unajidanganya. America first ndio msemo wao, nimekuuliza, Iraq ilikuwa na weapons of mass destruction? Hujanipa jibu.
 
IRANI ameshafanya makosa makubwa sana kufanya majaribio ya makombora balestiki ya (intermediate-range ballistic missiles)

Viongozi wa Irani hawatumii akili na wana mihemuko sana wanakurupuka mno.

Unapoenda kutumia makombola ya namna hii ina màana unawapa nguvu Israel ambao kila siku ya likuwa ni madai yao

Kuwa inatengeneza makombora ya kulenga miji ya Ulaya ina maana Israel ataonekana yupo sahihi maana ulisha wahi kuulizwa kuwa unatengeza hayo makombora ya 4000km ukakataa.

Israel anataka kuitumia hiyo ndio kigezo na alisha wahi kuwa ambia ulaya kuwa Iran inatengeza mabomu ya kuweza kufika ulaya kwenye miji yao mikubwa.

Lakini umoja wa ulaya ulipuuza na kukataa sasa irani wamesha tumia hilo bomu zapo haya kufanikiwa kufanya mazara

Ulaya lazima wainuse hiyo hatari wataka wasitake Irani kaji kaanga yeye mwenyew kwa mafuta yake mwenyew

Kutafuta sifa na kuonekana anapambana kunaenda kufanya Israel wapewe angizo la kumaliza hiyo kazi hapo ndipo atapigwa mpaka atachakaa maana target itakuwa sio tena kuangalia watu na malizao

Saiv Israel na Marekani wapo kule ila wanaangalia wasitengeneze mazara makubwa kwa watu

Irani inaongozwa na watu wa sio na uwezo wa kufikirilia na kuchanganua mambo.

Kombora alilofyatua hata halikuleta mazara kwa sababu ya ubali kulikuwa na haja ipi ya kufyatua Kombora ambalo halitaleta madhara

Utawala wa dola ya Kiislamu ya ilani inaongonzwa na watu wa hovyo na ujajusi wao ni hovyo.

Kwa wanaofuatilia taarifa za kimataifa bila kukurupuka wanajua kabisa kuwa, Hakuna kitu cha ajabu ....
1. Irani ipo kati ya Nchi tano DUNIANI ambazo raia wake wamesoma vizuri, na wengi wakiwa wamesoma Sayansi.
2. Irani ipo kati ya Nchi tatu Duniani ambazo zinauwezo wa kutengeneza silaha karibia zote yenyewe

Sasa kama wana wasomi wa kila aina tena wa Sayansi, unategemea iwe ajabu kutengeneza makombora ya medium range na hata ya Ballistic long range?
ISRAEL kuipiga Irani ni sawa na kusema Burundi Ipige South Africa....sema tu inategemea Marekani
 
Endelea kutetea taifa ovu kuliko yote duniani, kwa nini asinunue hali ikiwa shwari, lazima atengeneze conflicts an divisions ili apate nafasi ya kuchukua anachotaka.

Unadhani Marekani ana urafiki wa hivyo, unajidanganya. America first ndio msemo wao, nimekuuliza, Iraq ilikuwa na weapons of mass destruction? Hujanipa jibu.
Utawala mwovu ni ule unaoua raia wao wenyewe Kwa maelfu kisa kukosoa utawala

Ushasikia Israel au marekani Raia wao wenyewe wanauwa maelfu kisa kukosoa au kuandamana ??

Ndo maana Kuna watu wanatamani hata yule wa Malawi naye akamatwe maana ana tabia hizo hizo za kuwaua raia wao kwenye maandamano
 
SOma hoja ya mada iliyopo mezani uelewe mkuu
Hayo mambo ya kuchambana waachie wanawake wa kiswahili wavaa vijora
Wewe si ndio uliacha mada ukaanza kunitukana ndio maana nikagundua kuwa nabishana na mtu mwenye upeo mdogo.
Ngoja nikuache uendelee kubwabwaja kubishana na wewe napoteza muda wangu tu
 
Kwa wanaofuatilia taarifa za kimataifa bila kukurupuka wanajua kabisa kuwa, Hakuna kitu cha ajabu ....
1. Irani ipo kati ya Nchi tano DUNIANI ambazo raia wake wamesoma vizuri, na wengi wakiwa wamesoma Sayansi.
2. Irani ipo kati ya Nchi tatu Duniani ambazo zinauwezo wa kutengeneza silaha karibia zote yenyewe

Sasa kama wana wasomi wa kila aina tena wa Sayansi, unategemea iwe ajabu kutengeneza makombora ya medium range na hata ya Ballistic long range?
ISRAEL kuipiga Irani ni sawa na kusema Burundi Ipige South Africa....sema tu inategemea Marekani
Nashukuru Kwa takwimu zako za mchongo maana hata hujaweka source

Ila rudia Tena uelewe hoja yangu mkuu 🙏
 
Nashukuru Kwa takwimu zako za mchongo maana hata hujaweka source

Ila rudia Tena uelewe hoja yangu mkuu 🙏
Tatizo lenu mmekuja kuijua Irani kwa sababu ya Vita
Irani is one of the Giant Country fuatileni huko kwenye mambo ya kimataifa.....
Mnaosoma kwa matukio, subirini kombe la dunia mtabiri Brazil itachukua kombe
 
Utawala mwovu ni ule unaoua raia wao wenyewe Kwa maelfu kisa kukosoa utawala

Ushasikia Israel au marekani Raia wao wenyewe wanauwa maelfu kisa kukosoa au kuandamana ??

Ndo maana Kuna watu wanatamani hata yule wa Malawi naye akamatwe maana ana tabia hizo hizo za kuwaua raia wao kwenye maandamano
Je, Iraq ilikuwa na weapons of mass destruction??
 
Alivyoishambulia Saudi Arabia na Qatar Dubai Kuna kombora lolote lilikuwa limerushwa kutoka hizo nchi
Hili nalo ni swali?
Hayo ni majibu siyo swali. Pia makombora yanayo pita anga za kimataifa juu ya nchi hizi toka Iran kwenda kwa adui yake wao wanajaribu kuyazuia.
 
Ndo maana nasema Iran anafanya maamuzi kama kichaa
Unatengenezaje MAZINGIRA ya kushambuliwa zaidi
Akili zako ni too primitive. Wewe Majirani zako wameungana na adui zako kukuangamiza then Usiwapige majirani zako sababu itatengeneza mazingira ya kushambuliwa zaidi? Huko kichwani upo sawasawa kweli mkuu!
 
Back
Top Bottom