Baadhi ya watu hoja zao huwa ni mfu hazina maana!!
Trampu amesema " Iran hawana jeshi la anga, jeshi la majini, hawana tena nyuklia, tumeua viongozi wao wote hatuna wa kuingia nae kwenye zungumzo, tutaufungua mfereji wa Hormuz, nawapa saa 48 nitapiga mabomu hawajawahi kuyaona!" Ingawa iran bado anapiga mabomu kwenye nchi za Ghuba na Israil, kafunga Hormuz, kafa Ayyatollah Sr kaingia Ayyatollah Jr!! . Tramp anasema wapo kwenye mazungumzo mazuri na Iran anaongea na nani wakati viongozi wote kawaua??
Mwenye akili timamu hawezi kuwa upande wa kiongozi asiye na msimamo na muongo.