son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 649
- 1,656
Mbona unaongea pumba yaani utoke usa hadi mlangoni kwangu unishambulie..strategy ipo hvyo washirika wako wote wanatandikwa hadi uache uonevuKama ameshambulia Hadi Saudi Arabia nchi yenye miji Mtakatifu wa waislamu wenzake unafikiri nani kichaa
Same kwa north korea akiguswa wale washirika majirani wa usa walioweka base lazima watandikwe ili heshima iwepo.
Kichaa ni yule kila siku anaanzisha vita na ugomvi since when iran alileta chochoko ..mara anede venezuela mara Cuba wajiandae mara sijui nani ???
Within a year iran kashambuliwa na hawa vichaa two times..kaletewa chokochoko
Nani kichaa kati ya hao??