Ulaniwe wewe mwanamke unayemchuna mwalimu

jorochere95

JF-Expert Member
Oct 27, 2015
294
152
1475695641844.jpg
 
Walimu wa kiume ni tegemezi hatari! kila kitu mama tuchangie tununue, ijumaa anaweka virago kwa mademu zao wasave bajetivya msosi hadi jumatatu kuweni makini nai
 
Walimu nao wapunguze kulia lia,kuna watu wanashida kuliko walimu hata keshokutwa hawajui itakuwaje wameuchuna tu wanakomaa na maisha,walimu wana angalau ya uhakika wa mishahara mwisho wa mwezi lakini kujiliza hakuishi..wachunwe tu hakuna namna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom