Ulaka sio Azam juice jamani

Ulaka sio Azam juice jamani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
1415301436475.jpg

1415301466919.jpg
 
Ndo maana huwa nikiona kama hivi nazidi kujipiga marufuku kutumia kinywaji kinachoitwa pombe na jamii yake
 
hapo dunia yote yako usingizi ukiisha atakurupuka huyo
 
Mshana mchokozi umeleta ile picha ya watu wanakunywa kwenye ndoo, tukatoa koments watu wakakasirika, kumbe umetoa tena , basi naishia hapa maana jana watu mhhhhhh

Hapana HARUFU alikereka but I think he is fine now...!!!, HARUFU fanya pita huku tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Hiyo picha ya kwanza anaigiza kulewa, hajalewa huyo. Utalewa halafu ukumbuke kujiwekea kitambaa eneo la kichwa ili nywele zisichafuke na udongo? Kama walevi ndio wako hivyo, na mimi nitaomba kuwa mlevi.

Tiba

Tiba kofia hiyo sio kitambaa, jamaa anajiona yuko kwenye tanfoam kabisa
 
View attachment 199722

Nilichogundua ni kwamba jamaa ni mfanyakazi wa kilabuni au alichukua deiwaka kwenda kununua pombe duka la jumla au kulikuwa na mnuso wakamtuma jamaa akanunue ulabu, sasa jamaa alietumwa pombe alikuwa yupo mitungi sana amesukuma toroli akiwa bwii matokeo yake toroli likamzidia nguvu akapiga chini yeye na toroli lake.

Wanaopenda pombe za bure matokeo ni haya alijua anawakomoa kwenye mnuso kumbe alikuwa anajikomoa mwenyewe, pombe gonga kishikaji unapoipania matokeo yake lazima uangushe gari
 
Hahahahaaa huyu alikuwa anaangusha moja moja mwishowe kaangushwa yeye
 
Back
Top Bottom