nina jamaa zangu watatu wako kitengo cha leseni, wana utajiri usiolingana na kazi zao, ukifika ofisini mwao yaani pesa za hongo zinamiminika hata bila kuomba.Alafu mnalaumu askari police wana vitambi
Kwa hiyo wamakaguaje vyeti na leseni kama vyeti hatutembei navyo? Hapa ni kwamba wanataka tutembee navyo. Fatma karume yuko sahihi.Jeshi limesurrender View attachment 819564
nawakisha kagua wanagonga mhuri? naona hii ni vita kati ya kangi na sirroSasa watakaguaje vyeti bila madereva kutembea na hivo vyeti au watapita kila nyumba kukagua ili madereva wasitembee navyo ,hilo halina ubishi lazima watembee navyo siku ya ukaguzi nk.
Kweli kabisa, NACTE wizara ya elimu wahakiki kwanza hivyo vyuo kama vina vifaa na walimu wenye ujuzi wa kufundisha fani ya udereva, je hovyo vyuo vina driving simulator za kufundishia na kuhakiki madereva? hapo trafiki hawana hata ubao wa kupimia macho wanahakiki nini? isitoshe leseni hatukupewa na trafik tumepewa tra na hao ndio wenye mitambo ya kuhakiki leseni, kama kuna haja ya kuhakiki basi tra ndio wanaopaswa kuwajibika.Askari wakavikague vyuo kwanza vinavyotoa vyeti kisha wajitahmini wao madereva hatuna shida
Nimekua na leseni yangu miaka 20+ mara Ya mwisho mwaka jana nimeilipia 40 000/=pale tra makumbusho ikakaguliwa na maafisa wa police wakaiona haina shida sijafanya ajali yeyote wakanikabidhi... Leo unaniambia nipeleke cheti cha shule niliosomea?
Huu ni usumbufu 100%
Tatizo hapo kabla walikuwa wanapewa bila cheti.Hilo la ukaguzi wa vyeti linatakiwa kufanyika kabla ya kutoa leseni ya udereva kama mtu hana asipewe leseni
The future is exciting, ready??Huu msemo wa vodacom aliyeutunga alipatia sana kwa kweli .
Ahsante.