Kweli ulidanganyikaKumekuwa na mfumko wa threads hapa jf za kutafuta mchumba, mume nk .....
Yaonekana nyingi ya hizi threads ni kutafuta tu kiki na kuinjoi wana jf hakuna lolote .... ndo mana utakuta wengine wameweka "vigezo na masharti" utadhani wanaumba wao .... mwazingua buana ...
kasinde yupo wapi?Poleni sana...
kasinde yupo wapi?
kila mtu ana haki kutoa lililo moyoni mwake .... tusiwapotezee wote waletao requests hizo maana yawezekana 1 katika 100 akawa sincere ..... sema tu cjawahi kuapplyHivi na wewe unawasikiliza hao wanaotafuta wachumba.
Mapenzi bhana
Pamoja kiongoziSijaapply mkuu bali ni namna nilivocheki baadhi ya threads zajirudia rudia