Ulaghai Mtupu na Kutafuta kiki

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,251
2,000
Kumekuwa na mfumko wa threads hapa jf za kutafuta mchumba, mume nk .....

Yaonekana nyingi ya hizi threads ni kutafuta tu kiki na kuinjoi wana jf hakuna lolote .... ndo mana utakuta wengine wameweka "vigezo na masharti" utadhani wanaumba wao .... mwazingua buana ...
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
22,989
2,000
Kumekuwa na mfumko wa threads hapa jf za kutafuta mchumba, mume nk .....

Yaonekana nyingi ya hizi threads ni kutafuta tu kiki na kuinjoi wana jf hakuna lolote .... ndo mana utakuta wengine wameweka "vigezo na masharti" utadhani wanaumba wao .... mwazingua buana ...
Kweli ulidanganyika
 
busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,251
2,000
Hivi na wewe unawasikiliza hao wanaotafuta wachumba.Mapenzi bhana
kila mtu ana haki kutoa lililo moyoni mwake .... tusiwapotezee wote waletao requests hizo maana yawezekana 1 katika 100 akawa sincere ..... sema tu cjawahi kuapply
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom