dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,132
- 49,392
... I have now got the concept kwanini virikuu zinaongoza kwa kusimamishwa a.k.a kukamatwa na trafiki zikiwa zimebeba hata makombo ya kulishia mbwa yaliyookotwa hotelini.Ndio maana private vehicles zote zina kuwa plate number za njano, ila ikiwa ni ya biashara lazima iwe na plate number nyeupe!! Ndio sheria, sasa wewe unafanya biashara kwa kutumia private vehicle, ni kosa, kwani kuna kodi ambayo ulitakiwa kulipa, ambayo mwenye public vehicle anailipa!! Hiyo lazima iwe tax ni ukwepaji kodi tu!! Kwani kama ni gari huwa kuna tozo za halimashauri pia, kwa gari za abiria.