Ukwepaji kodi unaokubalika kisheria, ‘tax avoidance’

Ndio maana private vehicles zote zina kuwa plate number za njano, ila ikiwa ni ya biashara lazima iwe na plate number nyeupe!! Ndio sheria, sasa wewe unafanya biashara kwa kutumia private vehicle, ni kosa, kwani kuna kodi ambayo ulitakiwa kulipa, ambayo mwenye public vehicle anailipa!! Hiyo lazima iwe tax ni ukwepaji kodi tu!! Kwani kama ni gari huwa kuna tozo za halimashauri pia, kwa gari za abiria.
... I have now got the concept kwanini virikuu zinaongoza kwa kusimamishwa a.k.a kukamatwa na trafiki zikiwa zimebeba hata makombo ya kulishia mbwa yaliyookotwa hotelini.
 
Ndio maana nikasema hapo utakuwa unavunja tu sheria, kwa kujua, na mke mkono wa sheria hautaukwepa endapo utakamatwa!! Ila kwenye uepukaji kwa kodi hutendi kosa, kwa makusudi bali ni kwa madhaifu (loopholes) ya sheria za kodi zilizopo, na hata huwezi funguliwa mashitaka ya kikodi!!! Ndio maana hufanywa kwa ushauri wa wataalamu wa mambo ya kodi, sio kila mtu unaweza.
Baki kwenye pikipiki, je utamkamata bodaboda kwa kumbeba mtu? What if kampa lift, suala la kusema wataalamu wa biashara ndio hujua zaidi nimeliweka kwenye uzi paragraph ya mwisho
 
... I have now got the concept kwanini virikuu zinaongoza kwa kusimamishwa a.k.a kukamatwa na trafiki zikiwa zimebeba hata makombo ya kulishia mbwa yaliyookotwa hotelini.
Hivyo vi kirikuu, tatizo lao kubwa ni mizigo wanayobeba ina kuwa inazidi ukubwa wa bodi ya gari!! Kwani sheria za usalama barabarani ni lazima mzigo uwe ndani ya bodi la gari, usijitokeze hata kidogo, ila kwa magari ya mizigo huwa yanatumia tu, plate number za njano, isipokuwa ya abiria tu. Shida yao ni mizigo kuwa mikubwa zaidi
 
Hii sio sahihi ni( tax evasion) huwezi kukwepa kodi kwa njia hiyo, ukikamatwa ni kosa. Tax avoidance ina hitaji umakini na sio kila mtu anaweza, kuna wenye fani yao, kwani ni kutumia mapungufu ya sheria za kodi zilizopo. Lakini ukienda kichwa kichwa baba, money loundering itakuhusu!!!
Uko sahihi !!
 
Hivyo vi kirikuu, tatizo lao kubwa ni mizigo wanayobeba ina kuwa inazidi ukubwa wa bodi ya gari!! Kwani sheria za usalama barabarani ni lazima mzigo uwe ndani ya bodi la gari, usijitokeze hata kidogo, ila kwa magari ya mizigo huwa yanatumia tu, plate number za njano, isipokuwa ya abiria tu. Shida yao ni mizigo kuwa mikubwa zaidi
huwa nashangaa unakuta semi la coca,azam au dangote lina plate no ya njano,,,,why??? kwan azam lile semi analitumia nyumban kwake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom