MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,128
....acha ujinga nan kakulazimisha usome....
Mr.Taikon utaweza kweli kumfikisha binti yetu?
Bora wewe ulijaribu mimi ningemwambia shemeji "oooi mwana eeh mimi siwezi kukata kuni kama vipi kata au pasua kuni mwenyewe" mwanaume lazima ujiamini
Hlo neno "looh" limenikera sana alafu mwanzo nilijikaza kusoma nikifikiri we ni ke!
Nimeishia hapo uliposhindwa kula wali maharaga ungemwambia hyo cha mdeko akupikie chipsi
Sent using Jamii Forums mobile app
ROBERT HERIEL, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app