Ukweni kwangu hakuishi vituko

Fundi Naona siku hizi tenda za kazi umekosa.
Nipo saiti mkuu nakosaje tenda.
Kazi ya kugonga boksi na kumwaga zege imeisha.
Siku mbili hizi namalizia tofali za juu.

Siyo Kila kazi lazima nipige picha niweke mitandaoni.

Nilichojifunza kazi zinatolewa na watu wanaokufahamu na wanaokuona ukifanya kazi.
Huku mitandaoni naweka kama kupoteza muda Sina mambo ya kufanya.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…