Hapo ni kweli tupu hapa jamaa avumilie tu ALIPIZIWE KISASIHeheeeh! Unalo hilo!! Kila siku munaambiwa acheni michupuko mubaki njia kuu hamutaki! WANAWAKE nao siku hizi wanayo michepuko!!
Am right here with you,
You wanna whisper something into my ears?
vitu kama hivi jamani tuwe tunamuweka Mwenyezi MUNGU mbele kwanza..
kijana nenda katubu, mwambie na mkeo, ongozaneni kanisani mkaombewe..
Hivi muraa na wewe umeshaoa???
Wewe zidisha kumpenda na kumwonesha mapenzi ya kweli zaidi ya siku za nyuma atajirudi tuu.
bado sana masai!!
yani bado mno bana, nasubiri dam ipoe kwanza kidogo, ndo ntaoa!!! lolz!!
kwani wanawake wataisha soon??
Kuna siri nyingine mtu hupaswa kuzikwa nazo kaburini, for good.
Heaven on Earth hebu ukuje umtafsirie kwa KiQueen Elizabeth