nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Mpe muda kidogo....
hahhaah!! Mwenzio ana jutia alio ya fanya ndio akaona amweleze mwenzie hajakamatwa wala nini,wengine wanakamwatwa na wanakua wakali wao na kesi inahamia kwako, sasa mwambie ivi umefanya vizuri ila angekwenda kupima afya yake kwanza halaf akamchukua mwenzie na akatafuta zawadi nzuri sana akampa mkewe na akazidisha mapenzi kama ametubu kweli lakini kakurupuka tuu hata tena mimi pia ninge chukia....Aisee! Mdomo unaponza kaka..... Hebu ichunguze kolomeo yako kuna sehem pana nundu hyo anayo mwanaume tu na sio mwanamke.... Hapo ndio siri za mwanaume zpo. Meza mdeki mtoto wa kiume sio unakatikiwa kiuno vizur unaanza kuropoka.
Nazingatia ushauri wenu wadau. Lakini sasa ina maana na mimi niendelee kukaa kimya nisimsemeshe ili nisimvuruge zaidi au...
Hapo zidisha mapenzi tu
Takriban wiki moja imepita tangu nilipofanya mazungumzo na mke wangu, nilidiriki kumweleza ukweli kuwa kwa kipindi kirefu nilikuwa natoka nje ya ndoa, na hivyo nikamwomba anisamehe na kuwa najutia nakumwahidi kuwa sintofanya hivyo tena kwani hakuna nilichokipata. Baada ya mazungumzo yetu alionyesha kuniunga mkono kwa kunionyesha upendo wa dhati na mimi pia hali kadhalika. Sasa kilichonichanganya namwona mke wangu kanichenjia hataki kuongea na mimi kila kitu anatuma mtoto, nimwulizapo kulikoni? kimya sijibiwi, kibaya zaidi hataki nimguse ukizingatia kuwa wanandoa ndiyo huwa njia yetu pekee ya kutatua na kuondoa tofauti zilizopo, hakuna amani Nifanye nini sasa wadau?
hahhaah!! Mwenzio ana jutia alio ya fanya ndio akaona amweleze mwenzie hajakamatwa wala nini,wengine wanakamwatwa na wanakua wakali wao na kesi inahamia kwako, sasa mwambie ivi umefanya vizuri ila angekwenda kupima afya yake kwanza halaf akamchukua mwenzie na akatafuta zawadi nzuri sana akampa mkewe na akazidisha mapenzi kama ametubu kweli lakini kakurupuka tuu hata tena mimi pia ninge chukia....