Ukweli wangu umeniponza, najuta

Ukweli wangu umeniponza, najuta

Ulitakiwa uwe na maaamuzi ya kiume, kwa michepuko uliyoifanya hapo nyuma na haikuwahi kugundulika hako katabia

Ulihitaji kuyamaliza moyoni wewe ulitaka attention kutoka kwa mke wako, sasa cheza muziki huo

Na yeye anaweza anza michepuko kulipiza kisasi sijui wewe utaweza kuvumilia?
 
haya Mr. Wise endelea kuwashauri wakina dada wadumu kwenye hizi ndoa, me leo sitii neno
 
Enyi waume,ishini kwa akili na wake zenu,maana mke ni chombo dhaifu....ukiona kitu kina dalili za KUTEKENYA AMANI,Acha mpendwa...by the way pole sana and jitahidi sana kumuonesha how much you feel about her
 
Ulikuwa mkweli kupitiliza ungeomba ushauri kwanza kabla hujakiri makosa yako wenzako tunanaswa na vidhibiti kabisa na bado tunagoma kukiri ukweli. Tunashikiwa mpaka visu na misahafu lakini nikishasema SiKWELI hakuna kinachobadilisha huo msimamo
Zingatia si kila ukweli ni wa kusema

Sijapenda ushauri wako!
 
Eiyer.....

[video=youtube_share;bzKi-yZ7aR0]http://youtu.be/bzKi-yZ7aR0[/video]

[video=youtube_share;MPecU4zeMbA]http://youtu.be/MPecU4zeMbA[/video]


Goodnight Hubby. I Love You.

Aiseeeeee!!!!!
Hii dedication sikuiona bana
Karucee thanks much
I love you too .......................!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Takriban wiki moja imepita tangu nilipofanya mazungumzo na mke wangu, nilidiriki kumweleza ukweli kuwa kwa kipindi kirefu nilikuwa natoka nje ya ndoa, na hivyo nikamwomba anisamehe na kuwa najutia nakumwahidi kuwa sintofanya hivyo tena kwani hakuna nilichokipata.

Baada ya mazungumzo yetu alionyesha kuniunga mkono kwa kunionyesha upendo wa dhati na mimi pia hali kadhalika.

Sasa kilichonichanganya namwona mke wangu kanichenjia hataki kuongea na mimi kila kitu anatuma mtoto, nimwulizapo kulikoni? kimya sijibiwi, kibaya zaidi hataki nimguse ukizingatia kuwa wanandoa ndiyo huwa njia yetu pekee ya kutatua na kuondoa tofauti zilizopo, hakuna amani Nifanye nini sasa wadau?

Mkuu Hapa uliteleza wanawake wana mioyo miepesi sana hawatakiwi kuambiwa kuna mwenzaka anafaidi Mali zake ni hatari sana,wengine wanaweza hata kukufanya kitu mbaya aisee hawana kifua haloo so next time kuwa makini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi ni mimi peke yangu ambaye nahisi amefanya vyema kumwambia mkewe ukweli?
Mpe tu muda wa ku digest hilo jambo. Ila haujafanya kosa kumwambia.
Hata ingekuwa mimi ningetaka kujua, hata kama ningeumia.
Ni kheri kusema kuliko angegundua mwenyewe. Maybe baada ya muda atakuamini tena. Au pengine hatakuamini, ila umefanya jambo sahihi.
Your conscience is clean naamini.Jitahidi kutorudia kosa.
 
dawa ya moto ni moto,,
na dawa ya mchepuko ni mchepuko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom