Ukweli Wanaume aina hii wanaboa sana

Mbona kuliwa kunawaumiza sana? Kila mtu analiwa kutwa mara2 uongo?
Kwanza unapata heka kiulaini tu mbona mavi yanapita bure? Si afadhali upate hela! Au nimekosea jamani munaogopa bure tu kwani nani atajua
Aisee, utakua unaliwa ww c bure
 
Huo ndio mwanzo wa kuliwa Sheikh wangu
Kuliwa ! mliwa na mlaji nani anapata harufu? hapo nani mjinga? na nani mjanja?.

Sasa Sheikhe wangu! nina shaka kidogo- wewe-, kalipiwa ile huduma sasa wamuonea wivu weye? ya nini kuumia kitu chenyewe kiidoogo!

Yawezekana kijana yuko mawindoni ati! walee jamaa kule washamba waona gele wale bureee, wa muangalia kwa kumtamani ati!

Mashalah! mabata ushungu wallah!
 
sasa unaanzaje m judge mwanaume aseee

pesa ipo acha aitumie,anafanyiwa usafi PUBLIC shida iko wapi?

angemuita chumbani kwake si ndio mngesema zaidi?

halafu sasa jamaa ukute kapaki dude moja hapo nnje la Mil.200

unamjudge wakati umekuja na bodaboda (dume zima unaendeshwa na mwanume mwenzio)

Kama mnajiona wanaume hamtaki kufanyiwa vitu na wanaume wenzenu

Msipande daladala,msipande bodaboda na kila kinachofanywa na mwanaume Msikifate.

Wangapi mnakula mahotelini hapa na Ma CHIEF COOKER wa hotel wengi ni WANAUME???

midume mizima inasema inaenda kula hotel chakula kapika mwanaujme mwenzake!

Mna mjudge mwenye makosa hapo nani? sijamuona

Atleast hata mumseme mpk rangi (kajulia wapi kupaka rangi mwanaume mzima)

Aseee ebu acheni watu watumie PESA tena mshua hana habari kashakula NYAMA zake

saivi ni toothpick tu inafanya kazi (stress free)
 
Kuliwa ! mliwa na mlaji nani anapata harufu? hapo nani mjinga? na nani mjanja?.

Sasa Sheikhe wangu! nina shaka kidogo- wewe-, kalipiwa ile huduma sasa wamuonea wivu weye? ya nini kuumia kitu chenyewe kiidoogo!

Yawezekana kijana yuko mawindoni ati! walee jamaa kule washamba waona gele wale bureee, wa muangalia kwa kumtamani ati!

Mashalah! mabata ushungu wallah!
Mmmmh kuna Shaka hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo tofauti iko wapi na pale unakwenda kwa kinyozi anakunyoa nywele na ndevu huku akishika shika kichwa na kukipapasa papasa.
Wanaume wa Kitanzania mna matatizo sana ya kupenda umbea, yaachieni wanawake.
 
Kumbe wakenya hizi tabia kwenu ni kawaida basi sawa mambo ya Mombasa haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wakenya hizi tabia kwenu ni kawaida basi sawa mambo ya Mombasa haya

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeuliza swali, ukienda kwa kinyozi, huaje, maana nijuavyo mhudumu wakati anakunyoa hushika shika/kupapasa kichwa chako kama demu hivi.
Bora huku kwetu siku hizi kuna mademu vinyozi, unampa kichwa anakifanya atakavyo, sio limkono la dume tena.
 
Tatizo ww waonaekana wakubaliana na hicho anachofanya huyo bwege juu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ww waonaekana wakubaliana na hicho anachofanya huyo bwege juu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app

Narudia swali langu, iko wapi tofauti ya anachokifanya na wakati unanyolewa na mwanaume anayekupapasa kichwa kabisa.
images
 
Back
Top Bottom