Inakuaje mtoto wa kiume unaenda salon kuoshwa miguu na kucha...!?

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,377
Sina haja ya salamu maana nimefedheheshwa na kitendo nilichokiona leo.

Nilikua kwenye harakati zangu za kusaka maokoto mitaa ya Malimbe SAUT

Katika pita pita zangu lahaulaaa!! Namkuta njemba na kipensi chake yupo salon kalowekwa miguu inaoshwa oshwa na kusafishwa kucha kama wanavyofanyiwa wale wamama kwenye salon zao.

Jamaa kapandisha mguu wake kwa msela mwenzake anaoshwa miguu.

Hakika niliona aibu mimi na kujisemea kwa kweli wanaume tunapungua sana.

Dume zima unaendaje salon ya kike kuanza kuoshwa miguu na kusafishwa kucha kama mwali..??

Nimeshangaa sana labda mi mshamba lakini hii ya leo imenifedhehesha sana.
 
Acha ushamba na usiishi kwa kukalili maisha.
 
La muhimu adinde tu
 
Huyo inabidi apigwe 🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽 ya kutosha anaiabisha brand Mwanaume unaenda kuoshwa miguu ili iweje na dada zako wafanyweje? Au unataka kuolewa?
 
IMG-20231127-WA0003.jpg
 
We si umeshasema ni mtoto wa kiume?

Af,kaenda saloon ya kike. Jiulize na jibu ujipe. Enewe,huenda domo zege,anataka huko wanaosukwa wamuonee huruma,asije akafa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom