Ukweli wa mambo huu hapa

Watajuana wenyewe, sisi wengine tunaishi kwa kubet na radha ya vieite hatuijui.
 
Acha wenge dogo

Unajua tofauti ya mgombea wa uenyekiti wa chama chenu na uteuzi wa mgombea wa urais wa nchi kupitia chama chenu?
 
Kuna clip inatembea kuwa alikataa kupisha, kama kibajaji alivyoshauri.
Wachochezi bwana!
 
Watajuana wenyewe, sisi wengine tunaishi kwa kubet na radha ya vieite hatuijui.
Tunabet na tunaishi fresh tu na mambo yetu yanasonga.hayo ma vi8 hatuna habari nayo
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…