Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
Vijana ndo chachu ya mabadiliko. CCM imeligundua hilo wakaona wamtumie Nape(cheap labour). Nape yupo tayari kufa kwa ajili ya chama wakati Ridhiwani na baba yake wapo busy kutunyonya damuHeading imekosewa ilipaswa kuwa "Uongo wa kukusudiwa" Nape baba yake alikuwa brigedia na mpaka sasa kwa jeshi la kujenga taifa anakumbukwa kwa uimara na kazi aliyofanya na wala hana record hiyo ya ufisadi, labda ungesema jingine na kumbuka kuwa na kumbukumbu kwani kwa sasa watu hawadanganyiki zaidi ya kushawishika
Vijana ndo chachu ya mabadiliko. CCM imeligundua hilo wakaona wamtumie Nape(cheap labour). Nape yupo tayari kufa kwa ajili ya chama wakati Ridhiwani na baba yake wapo busy kutunyonya damu
Inaaminika kwamba kila kijana anaye jiunga na ccm popote pale nchini ni mchumia tumbo la sivyo anatoka familia ya kifisadi
hii ni kwa sababu zifuatazo
1. angalia majina ya watoto wa vigogo kweny nec
2. angalia vijana wa ccm kwenye bunge linganisha na wale wa cdm
3. angalia historia za wazazi wao (viongozi)
4. wajinga na wavivu kufikiri (lusinde)
5. waropokwaji pasipo utafiti(nape)
6. kupigana hazarani kwa masilahi yao (baada ya matokeo ya uvccm)
zifuatazo ni sifa za wazee wao
1. kusinzia bungeni
2. waizi wa mali za umma
3. wagomvi na wenye uchu wa madaraka
4. wasio fahamu nini chanzo cha umasikini wa raia zao
5. wanaoshinda kwa mitandao ya fedha
6. wenye historia chafu baada ya uongozi
7. wanaotesa nakunyanyasa wa tetezi wa umma
huu ndio ukweli halisi kama kuna mengine yamesahaulika nawaomba tuongezee ilituwakomboe watanzania kutoka kwa mkoloni huyu wa kijani.
Heading imekosewa ilipaswa kuwa "Uongo wa kukusudiwa" Nape baba yake alikuwa brigedia na mpaka sasa kwa jeshi la kujenga taifa anakumbukwa kwa uimara na kazi aliyofanya na wala hana record hiyo ya ufisadi, labda ungesema jingine na kumbuka kuwa na kumbukumbu kwani kwa sasa watu hawadanganyiki zaidi ya kushawishika
Heading imekosewa ilipaswa kuwa "Uongo wa kukusudiwa" Nape baba yake alikuwa brigedia na mpaka sasa kwa jeshi la kujenga taifa anakumbukwa kwa uimara na kazi aliyofanya na wala hana record hiyo ya ufisadi, labda ungesema jingine na kumbuka kuwa na kumbukumbu kwani kwa sasa watu hawadanganyiki zaidi ya kushawishika
Ridhiwani Kikwete=Karim Wadenkuwa sana na wasiwasi jinsi watanzania tunavyomuhusisha riziwani na utajiri mwingi, kitu ambacho mimi naona kwa sasa waongo wamekuwa na nafasi kubwa sana kwenye siasa.
7. Kuna watanzania wengine ambao hawashirikishi akili zao. Wamejawa na ushabiki. Yamkini wanaipenda CCM kwasababu ni kijani na njano yaani Yanga!
kumbe ingekua nyekundu na nyeupe nawe pia ungeipenda SIMBA
weye kwanzia leo hii ni gamba jepesiHeading imekosewa ilipaswa kuwa "Uongo wa kukusudiwa" Nape baba yake alikuwa brigedia na mpaka sasa kwa jeshi la kujenga taifa anakumbukwa kwa uimara na kazi aliyofanya na wala hana record hiyo ya ufisadi, labda ungesema jingine na kumbuka kuwa na kumbukumbu kwani kwa sasa watu hawadanganyiki zaidi ya kushawishika
ntaongea ukweli daima kwani duniani sio kwetuKweli uwa wana sera wao wameanzisha cc2namalizia ukweli mtupu.
iron leady dawa yake ningozi wala sio chumatetetete umenikumbusha enzi zile za andika kichwa cha habari cha habari hii.
mimi ccm ila naichukia sana sema tu nipo kwaajili ya wanangu wahudhurie chooonimimi ni yanga damdam ila ninaichukia sana ccm