Ukweli wa kuthibitika

Baba Hellen

JF-Expert Member
Jul 2, 2012
763
91
Inaaminika kwamba kila kijana anaye jiunga na ccm popote pale nchini ni mchumia tumbo la sivyo anatoka familia ya kifisadi
hii ni kwa sababu zifuatazo
1. angalia majina ya watoto wa vigogo kweny nec
2. angalia vijana wa ccm kwenye bunge linganisha na wale wa cdm
3. angalia historia za wazazi wao (viongozi)
4. wajinga na wavivu kufikiri (lusinde)
5. waropokwaji pasipo utafiti(nape)
6. kupigana hazarani kwa masilahi yao (baada ya matokeo ya uvccm)

zifuatazo ni sifa za wazee wao

1. kusinzia bungeni
2. waizi wa mali za umma
3. wagomvi na wenye uchu wa madaraka
4. wasio fahamu nini chanzo cha umasikini wa raia zao
5. wanaoshinda kwa mitandao ya fedha
6. wenye historia chafu baada ya uongozi
7. wanaotesa nakunyanyasa wa tetezi wa umma

huu ndio ukweli halisi kama kuna mengine yamesahaulika nawaomba tuongezee ilituwakomboe watanzania kutoka kwa mkoloni huyu wa kijani.
 
Heading imekosewa ilipaswa kuwa "Uongo wa kukusudiwa" Nape baba yake alikuwa brigedia na mpaka sasa kwa jeshi la kujenga taifa anakumbukwa kwa uimara na kazi aliyofanya na wala hana record hiyo ya ufisadi, labda ungesema jingine na kumbuka kuwa na kumbukumbu kwani kwa sasa watu hawadanganyiki zaidi ya kushawishika
 
7. Kuna watanzania wengine ambao hawashirikishi akili zao. Wamejawa na ushabiki. Yamkini wanaipenda CCM kwasababu ni kijani na njano yaani Yanga!
 
Vijana ndo chachu ya mabadiliko. CCM imeligundua hilo wakaona wamtumie Nape(cheap labour). Nape yupo tayari kufa kwa ajili ya chama wakati Ridhiwani na baba yake wapo busy kutunyonya damu
 
Lakini kaka nature inasema hivyo siku zote wapo wa kufa kwa ajili ya wenzao!!! na hakuna vita kubwa kama kupambana ukiwa ndani kwani kumjua adui ni kazi sana. lakini pia nkuwa sana na wasiwasi jinsi watanzania tunavyomuhusisha riziwani na utajiri mwingi, kitu ambacho mimi naona kwa sasa waongo wamekuwa na nafasi kubwa sana kwenye siasa.
 
Inaaminika kwamba kila kijana anaye jiunga na ccm popote pale nchini ni mchumia tumbo la sivyo anatoka familia ya kifisadi
hii ni kwa sababu zifuatazo
1. angalia majina ya watoto wa vigogo kweny nec
2. angalia vijana wa ccm kwenye bunge linganisha na wale wa cdm
3. angalia historia za wazazi wao (viongozi)
4. wajinga na wavivu kufikiri (lusinde)
5. waropokwaji pasipo utafiti(nape)
6. kupigana hazarani kwa masilahi yao (baada ya matokeo ya uvccm)

zifuatazo ni sifa za wazee wao

1. kusinzia bungeni
2. waizi wa mali za umma
3. wagomvi na wenye uchu wa madaraka
4. wasio fahamu nini chanzo cha umasikini wa raia zao
5. wanaoshinda kwa mitandao ya fedha
6. wenye historia chafu baada ya uongozi
7. wanaotesa nakunyanyasa wa tetezi wa umma

huu ndio ukweli halisi kama kuna mengine yamesahaulika nawaomba tuongezee ilituwakomboe watanzania kutoka kwa mkoloni huyu wa kijani.

vilaza kama kina le mutu...vuzi!!
 
Heading imekosewa ilipaswa kuwa "Uongo wa kukusudiwa" Nape baba yake alikuwa brigedia na mpaka sasa kwa jeshi la kujenga taifa anakumbukwa kwa uimara na kazi aliyofanya na wala hana record hiyo ya ufisadi, labda ungesema jingine na kumbuka kuwa na kumbukumbu kwani kwa sasa watu hawadanganyiki zaidi ya kushawishika

tetetete umenikumbusha enzi zile za andika kichwa cha habari cha habari hii.
 
Heading imekosewa ilipaswa kuwa "Uongo wa kukusudiwa" Nape baba yake alikuwa brigedia na mpaka sasa kwa jeshi la kujenga taifa anakumbukwa kwa uimara na kazi aliyofanya na wala hana record hiyo ya ufisadi, labda ungesema jingine na kumbuka kuwa na kumbukumbu kwani kwa sasa watu hawadanganyiki zaidi ya kushawishika

:boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing:
 
nkuwa sana na wasiwasi jinsi watanzania tunavyomuhusisha riziwani na utajiri mwingi, kitu ambacho mimi naona kwa sasa waongo wamekuwa na nafasi kubwa sana kwenye siasa.
Ridhiwani Kikwete=Karim Wade
Baba yake yaani JK atapona kwa kinga ya urais ila yeye Ridhiwani dawa yake ipo jikoni. 2015 ajiandae kukimbia nchi
 
7. Kuna watanzania wengine ambao hawashirikishi akili zao. Wamejawa na ushabiki. Yamkini wanaipenda CCM kwasababu ni kijani na njano yaani Yanga!

kumbe ingekua nyekundu na nyeupe nawe pia ungeipenda SIMBA
 
mhu mhu yakheeeee twawachukia sana hawa magamba hata mi mzanzibarr naipenda hiyo pepooooooo powaaaaaaaaa
 
Heading imekosewa ilipaswa kuwa "Uongo wa kukusudiwa" Nape baba yake alikuwa brigedia na mpaka sasa kwa jeshi la kujenga taifa anakumbukwa kwa uimara na kazi aliyofanya na wala hana record hiyo ya ufisadi, labda ungesema jingine na kumbuka kuwa na kumbukumbu kwani kwa sasa watu hawadanganyiki zaidi ya kushawishika
weye kwanzia leo hii ni gamba jepesi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom