Ukweli wa Japan kusogeza masaa mbele

Ukweli wa Japan kusogeza masaa mbele

Daylight Saving Time (DST) is the practice of setting the clocks forward 1 hour from standard time during the summer months, and back again in the fall, in order to make better use of natural daylight.

Daylight Saving Time (DST) is the practice of turning the clock ahead as warmer weather approaches and back as it becomes colder again so that people will have one more hour of daylight in the afternoon and evening during the warmer season of the year.
 
Mimi najua kila jumapili ya mwezi wa 3 uingereza huwa wanapeleka mbele saa moja
Ina maana ndio summer time inaanza
Mchana unakuwa mwingi

Na inapofika jumapili ya mwisho wa mwezi October inarudishwa saa moja nyuma
Kuashiria kuwa winter imeanza na usiku unakuwa mrefu.

Inaweza kuwa wanafuata system ya huku
Maana miezi hii jua linazama saa 3:30 usiku UK
Nakubaliana na wewe. Nilienda US kwa mara ya kwanza nikakuta Saa 3 ya usiku ndio linaanza kuzama na wakati huohuo Saa 1 moja asubuhi ni kama Saa 11 alfajiri kwetu.

Kwahiyo inaleta maana kuchelewa kwenda kazini na kuchelewa kutoka ili kwenda sambamba na mwangaza wa jua la mchana na giza la usiku
 
Back
Top Bottom