Nikweli simu hizi hua zinatatizo la network?

Ni kweli kwa namna moja au nyingine maana mm natumia Dual SIM ila kuna mda Internet inafail sana sana kwa hizi simu Samsung
Yaani uki switch kutoka Network moja kuja nyingine... naona Tecno wamempita S kwa hili swala la dual sim
sina uhakika kama hili lina affect pia internet ila kuna dual sim za aina mbili,
1.dual sim standby
2.dual sim active
dual sim standby yenyewe ukiwa hutumii simu line zote mbili zinakuwa active na unaweza pokea simu muda wowote lakini ukianza kutumia moja line nyengine inakuwa haipatikani hivyo inakuwa useless. so inawezekana hapa ukawa unachat na line A kwa sms au unacall mtu hii inaweza athiri line B (sijahakikisha just mawazo tu). faida ya hii haili sana battery
dual sim active hii line zote zinapatikana hata ukitumia line moja haiathiri matumizi ya line nyengine hivyo hii inakua ni nzuri kuliko dual sim standby ila inakuja na cost ya kula charge balaa.
njunwa wamavoko simu nyingi za samsung ni dual sim standby
ni kweli dual sim ziko slow zaid ya single...?