Baba wa wote.
Umasikini na elimu inaweza kuwa sababu hapa kwetu tanzania lakini kwa
asilimia kidogo sana.
Inchini Irani ukijifanya kuhubiri ukristo roho yako iko mashakani
Saudi arabia yaleyale
Syria kama kawaida
Bado father nahitaji kuwekwa sawa huko kote chuki kwa imani ya kikristu
inasababishwa na umaskini?
Kilichofanyika nimfumo wa maisha wa wenzetu. nimeishi Tanga kwa miaka
mitano lakini simulizi nilizokuwa nazipata vijiweni zinatisha,
nilibahatika kwa mda mrefu kupata simulizi mbalimbali kwasababu
iliwachukua miaka mitatu kuitambua imani yangu kwasababu jina langu ni
miongoni mwa majina yanayotumika kotekote na waliamini nipo upande wao
japokuwa swala tano sikupatikana.
Kama ni umasikini mbona wasimalizie hasira zao pale polisi
Je kugomea sensa kwa ushawishi wa ponda pia umasikini?
Je Kule zanzibar makanisa yaliyochomwa mfululizo mpaka kufikia zaidi ya
ishirini ni umasikini?
Ni umaskini gani huo wasioenda kuvamia benki kuu kuliko na fedha!
wamebaki kuvamia na kuharibu makanisa?
Father of all, kunatatizo kubwa tena sana la kiimani kiasi kwamba
watu wanakuwa saturated kiakili kutokana na mahubiri ya kichochezi
yakiwa na malengo maalumu nyuma ya pazia kimkakati. watbisha na
kukanusha huo ndiyo ukweli.