Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 970
- 2,360
Unaguna niniMmmh...
VIP Kipochi manyoya discount unatoaShikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba.
Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu.
Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri ikiisha bila matatizo yeyote,mtoto wa Kiswahili nipo niliambiwa nipo kwaajili ya kutapeli wanaume,aaaaah wapi hata niliokutana nao ni makapuku tu, mwanaume gani nguo hafui,hanyooshi shati,ataninyoosha Mimi,
Humu najua wenye pesa wapo ila ni wachache mno.
Povu ruksa,ila matusi sitaki ,tutavirugana Maria nipo mejaa teleee
Haya kujeni
Nipo chooni nakunya mwenzako.Unaguna nini
HapanaVIP Kipochi manyoya discount unatoa
ila ?.
nipo kwaajili ya kutapeli wanaume,aaaaah wapi hata niliokutana nao ni makapuku tu, mwanaume gani nguo hafui,hanyooshi shati,ataninyoosha Mimi,
Eeeeh,haya😂Nipo chooni nakunya mwenzako.
Ila nnila ?
Naona mnamgombania tajiriNipo chooni nakunya mwenzako.
Msimamo ukojeHapana
Achana na hii madaHuu ujinga unasibiri kupitiwa na Moderators ili ufutwe kwa umma!
Ila nn
Njoo unipandeUmepandwa??
Siyajui tatzoUkimpata wa kukupenda na kukukanda vizuri utaanza kuandika mambo muhimu kuhusu nchi yetu😊