Twahil wewe una Akili sana na wewe sio mwana Ccm wala Ukawa kama mimi ila una Maono sana brother.wachangiaji wengi humu ni chuki binafsi.Acheni Rais Magufuli afanye kazi ya kujenga nchi,nchi hii wazee iko na rasilimali kibao bado tuko nyuma sana ya hata nchi za kawaida sana.mfano Ethiopia wana ndege zaidi ya 25 za abiria lakini hawana vivutio vingi kama sisi hapa,lakini hatuna hata ndege hata moja,so unataka watalii waje hapa kwa usafiri gani?tujenge nchi kwa pamoja,Angola walipoamua kusimama kama nchi baada ya mapigano yao ya muda mrefu baina ya MPLA na UNITA angali leo wako wapi kimaendeleo?sisi hatujielewi tunapenda kuongea bila kujituma na kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyataka.
Tuamue mimi wewe na yule tujinyime tupigane tuiinue hii nchi,hicho ndio cha mdingi,but hapa ukileta Ukanda na Ukabila hatutaona umuhimu wa Magufuli ambaye amwkuwa mfano wa kuigwa ktk kila kona ya Dunia kwa sasa,but we don see that.