Ukweli usemwe watu wanaumizwa mno

Pole sana mkuu. . .

, kuna majitu hayana regard na hisia za wengine ...

Ila acha kuchochea mkuu.. .

Hujaumizwa kama wale wanaotolewa connection zao, right?

Kuna damage umefanyiwa ,yes, ila unavyojaribu kucontrol reputation yako ndio unaharibu zaidi ...nimeona wanaokutukana ni wale wajinga wajinga wanaoanzishaga nyuzi za hovyo humu...vichwa vyao vimejaa makamasi, usishindane na watu wa hivyo Marry
 
Oooh asante my dear
 
Naomba kukutana na wewe bibie, pole nitumie no. Dm ila kipengele nilicho nacho ni jobless
Sharti uwe DSM mimi kukufata dm HAPANA ego yangu hairuhusu
 
Chai
 
Kwahiyo mpqngo mzima ni upi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…