Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
Hata najua basiDoh
Sasa itakuaje...
KivipMbona ghafla sana...🫢
Mkuu, utaleta balaa aloooo...hata miguu ya kuku alianzanga kama hivi...R.i.PPunguza heka heka na kulalamika hovyo!
Pole mtoto mzuri, jipe moyo na yatakwisha.. ila jifunze kukaa kimya na kupiiza mambo mepesi hasa huku mitandaoniHata najua basi
acha kumkosoa Bwana Mungu! Mungu wetu ajaumba kiumbe mbaya! Je wewe una kiumbe kizuri ulichoumba hadi unakosoa uumbaji wa Mungu? omba toba kwa Mungu wako,umekengeuka! Amen.Shikamoon wakubwa
Jamani,nimejaribu kuwaza kitu kwanini wanaume wengi hasa humu mtandaoni wa gubu sana na wanawaza ngono tu?
Kwa mfano ni juzi tu hapa nimepost mada ili kusaidiana Mawazo kuhusu maisha,kumbukeni nivyohitaji Mawazo humu si kwamba hizo aidia Mimi sina,Bali ni kwamba najaribu kuwianisha na kimsingi wapo wachache ambao nimechukua ushauri wao kama ulivyo na nitaufanyiq kazi.
Ila wengine sasaaaa,
Mara oooh huyu anajiuza,anatafuta bwana,mara anatafuta mume,halafu ina maana mtaani wanaume hamna Hadi mtu aje mtandaoni,Kwa wanaume gani sasa,
Yaani mwanaume anayeshinda mtandaoni masaa kibao huyu atakuwa mume wa nani.
Yaani Maria Mimi nitafute mwanaume mtandaoni, sikilizeni Mimi kama nilivyopost picha yangu mtandaoni ndivyo nilivyo,si wa kishua nimezaliwa kwenye family ya kawaida,hakuna mwanaume hawezi kuwa na Mimi sasa jidanganyeni na kujipa matumaini hewa nawezaje kujibu DM ya mtu wa jamiiforum,nawezaje kutoka na wanaume surambaya na mbovu wa humu ,wengi nimekutana nao wabayaaa mxieeew
marry, hebu jaribu wakati mwingine kutengeneza urafiki na sisi wazee wa busara ambao hatuna gubu humu jukwaani, wala kuwaza ngono muda wote. Vijana wa hovyo kama Holoholo-Baba Kijacho na wenzake ndiyo wana matatizo makubwa uliyoyataja.Shikamoon wakubwa
Jamani,nimejaribu kuwaza kitu kwanini wanaume wengi hasa humu mtandaoni wa gubu sana na wanawaza ngono tu?
Kwa mfano ni juzi tu hapa nimepost mada ili kusaidiana Mawazo kuhusu maisha,kumbukeni nivyohitaji Mawazo humu si kwamba hizo aidia Mimi sina,Bali ni kwamba najaribu kuwianisha na kimsingi wapo wachache ambao nimechukua ushauri wao kama ulivyo na nitaufanyiq kazi.
Ila wengine sasaaaa,
Mara oooh huyu anajiuza,anatafuta bwana,mara anatafuta mume,halafu ina maana mtaani wanaume hamna Hadi mtu aje mtandaoni,Kwa wanaume gani sasa,
Yaani mwanaume anayeshinda mtandaoni masaa kibao huyu atakuwa mume wa nani.
Yaani Maria Mimi nitafute mwanaume mtandaoni, sikilizeni Mimi kama nilivyopost picha yangu mtandaoni ndivyo nilivyo,si wa kishua nimezaliwa kwenye family ya kawaida,hakuna mwanaume hawezi kuwa na Mimi sasa jidanganyeni na kujipa matumaini hewa nawezaje kujibu DM ya mtu wa jamiiforum,nawezaje kutoka na wanaume surambaya na mbovu wa humu ,wengi nimekutana nao wabayaaa mxieeew
Picha ulopost mtandaoni iko wapi tuone kweli we mzuri au iyo Avatar ya huyo m-mama sura inaonyesha kajichokea ndio wewe? Afu unakuja kujipa umhimu hapaShikamoon wakubwa
Jamani,nimejaribu kuwaza kitu kwanini wanaume wengi hasa humu mtandaoni wa gubu sana na wanawaza ngono tu?
Kwa mfano ni juzi tu hapa nimepost mada ili kusaidiana Mawazo kuhusu maisha,kumbukeni nivyohitaji Mawazo humu si kwamba hizo aidia Mimi sina,Bali ni kwamba najaribu kuwianisha na kimsingi wapo wachache ambao nimechukua ushauri wao kama ulivyo na nitaufanyiq kazi.
Ila wengine sasaaaa,
Mara oooh huyu anajiuza,anatafuta bwana,mara anatafuta mume,halafu ina maana mtaani wanaume hamna Hadi mtu aje mtandaoni,Kwa wanaume gani sasa,
Yaani mwanaume anayeshinda mtandaoni masaa kibao huyu atakuwa mume wa nani.
Yaani Maria Mimi nitafute mwanaume mtandaoni, sikilizeni Mimi kama nilivyopost picha yangu mtandaoni ndivyo nilivyo,si wa kishua nimezaliwa kwenye family ya kawaida,hakuna mwanaume hawezi kuwa na Mimi sasa jidanganyeni na kujipa matumaini hewa nawezaje kujibu DM ya mtu wa jamiiforum,nawezaje kutoka na wanaume surambaya na mbovu wa humu ,wengi nimekutana nao wabayaaa mxieeew
Huyo ndo Mimi post yako tuione , ugly mkubwa weePicha ulopost mtandaoni iko wapi tuone kweli we mzuri au iyo Avatar ya huyo m-mama sura inaonyesha kajichokea ndio wewe? Afu unakuja kujipa umhimu hapa
Hapa naelewaUkifatilia utagundua kuna kakundi cha mashoga humu wapo kila mada na ni walewale kila siredi wanadanga kutafuta mabwana ,watafika muda sio mrefu
Wapuuze tu hao ni machoko,
Umeanza vizuri ila hakuna sababu kutaja watu wenginemarry, hebu jaribu wakati mwingine kutengeneza urafiki na sisi wazee wa busara ambao hatuna gubu humu jukwaani, wala kuwaza ngono muda wote. Vijana wa hovyo kama Holoholo-Baba Kijacho na wenzake ndiyo wana matatizo makubwa uliyoyataja.
Siwezi kuwa kimya mtandaoni nitakaa kimya mtaani 😂Pole mtoto mzuri, jipe moyo na yatakwisha.. ila jifunze kukaa kimya na kupiiza mambo mepesi hasa huku mitandaoni
ukiingia kichwakichwa humu jukwaani unapotezwa mazima, wengi tunaonekana wa hovyo humu ila nje na jf mimi ni mtu huwezi kumdhania, ushauri wangu kwa Marry Diana apunguze kulialia mtandaoni,wengine huwa tunajibu hoja tukitafuta like za vicheko tu basi.marry, hebu jaribu wakati mwingine kutengeneza urafiki na sisi wazee wa busara ambao hatuna gubu humu jukwaani, wala kuwaza ngono muda wote. Vijana wa hovyo kama Holoholo-Baba Kijacho na wenzake ndiyo wana matatizo makubwa uliyoyataja.